Malaika Cute, hiyo shepu tumekubali!

Huyu mrembo ana trako kubwa sana, nafikiri ni mambo ya Uturuki. Nimepita kwa page yake kule IG ni🔥

Tangu ameachana na Ricardo Momo siku hizi ni mwendo wa bata tu, watoto wa mjini wanasema ni burudani kwa wote.

Ila lile trako🥶
Kuna usemi unasema mwanamke akiwa mzuri lakini akakosa akili zinazoumia ni sehemu za siri,😂
 
Huyu mrembo ana trako kubwa sana, nafikiri ni mambo ya Uturuki. Nimepita kwa page yake kule IG ni🔥

Tangu ameachana na Ricardo Momo siku hizi ni mwendo wa bata tu, watoto wa mjini wanasema ni burudani kwa wote.

Ila lile trako🥶
Wanaume tusichoelewa ni kwamba neno 'Mungu fundi' linamaanisha kuwa, Mungu hana upendeleo na karama zake kagawa kwa wote.

Yaani kila mtu kapewa alichojaliwa nacho na si vyote.

Unamkuta mwanamke tako, tako lakini kichwani sifuri.

Unakuta mwanamke sura ya babake, lakini kichwani iko njema etc etc.

Sasa ukioa kwa kufuata housing lazima tu uchemke.

Kwa hiyo huyo kijana alifuata housing pekee mambo ya msingi hakuyaangalia kama ilivyo kwa vijana wengi, sasa atakuwa kajifunza anastahili pongezi kwa kujivua gamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…