Chizi Jambazi
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,769
- 1,379
Umepiga?Huyu mrembo ana trako kubwa sana, nafikiri ni mambo ya Uturuki. Nimepita kwa page yake kule IG ni🔥
Tangu ameachana na Ricardo Momo siku hizi ni mwendo wa bata tu, watoto wa mjini wanasema ni burudani kwa wote.
Ila lile trako🥶