Malaika Cute, hiyo shepu tumekubali!

Malaika Cute, hiyo shepu tumekubali!

Wanawake wana wivu wanampondea mwenzao kwasababu kawazidi uzuri
WTF! Hamna mwanamke wa kuonea wivu tako limekaa kama ugonjwa.

Wa kuadmire tena hata sio kuona wivu ni wakina sanchi na wadada wanaofanana na wao, kila kitu kimekaa mahala pake kwa uwiano wa muumba
 
Wanaume tusichoelewa ni kwamba neno 'Mungu fundi' linamaanisha kuwa, Mungu hana upendeleo na karama zake kagawa kwa wote.

Yaani kila mtu kapewa alichojaliwa nacho na si vyote.

Unamkuta mwanke tako, tako lakini kichwani sifuri.

Unakuta mwanamke sura ya babake, lakini kichwani iko njema etc etc.

Sasa ukioa kwa kufuata housing lazima tu uchemke.

Kwa hiyo huyo kijana alifuata housing pekee mambo ya msingi hakuyaangalia kama ilivyo kwa vijana wengi, sasa atakuwa kajifunza anastahili pongezi kwa kujivua gamba.
mkuu kuna wanawake mzigo wanao, na bado kichwani wako njema tu na sura pia ipo
 

Attachments

  • Screenshot_20241009_091941_Instagram.jpg
    Screenshot_20241009_091941_Instagram.jpg
    464.9 KB · Views: 12
Huyu mrembo ana trako kubwa sana, nafikiri ni mambo ya Uturuki. Nimepita kwa page yake kule IG ni🔥

View attachment 3116695

View attachment 3116696

Tangu ameachana na Ricardo Momo siku hizi ni mwendo wa bata tu, watoto wa mjini wanasema ni burudani kwa wote.

Ila lile trako🥶
Mbona ana tako la kawaida,mtaani kuna wanaomzidi ni kwa kua hawapo mitandaoni
Au nyie hamuoni?
 
Back
Top Bottom