Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kumbe Id fake ni tatizo humu Jf!Mzalendo hajifichi kwa kivuli cha ID fake bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Id fake ni tatizo humu Jf!Mzalendo hajifichi kwa kivuli cha ID fake bwashee!
Huko wilaya ya hai Kuna corona ambapo corona yenyewe ni mtindo wa kuchukua walimu darasani na kuwapeleka Ofisi za Halmashauri na kuwapa kazi kwenye idara bila kupangiwa kazi hizi kutoka Tamisemi mkiwadanganya mtawafanyia recategorization.ushauri kwa waziri mwenye dhamani na Tamisemi, recategorization ifutwe na iwapo Kuna nafasi imetokea au mtumishi amesomea kozi nyingine nafasi hizo zitangwazwe ili zishindanishwe ili kupata mtumishi mwenye sifa na uwezo wa kufanya kazi.
Umetumwa???
Kati ya watu ambao huwa nawaona wajinga ni ninyi ambao mtu akileta tuhuma mnakimbilia kusema majingu nadhan hamjui uendeshwaji wa ofisi hizo za umma kuna wakati unakosa mahali ambapo unaona kilio chako kitasikika na walio juu ya huyo unaye mtuhumu na baada ya hapo ukabaki salama bila bugudha.Majungu????
Wewe jitafakari mwenyewe sina la zaid.Sina hakika umefika darasa la ngapi? maana naona umeshindwa kutambua kuwa comment yangu ilikuwa ni swali...Halafu kuna sababu kweli kumwambia mwenzio mjinga? Huoni kuwa unakosa ustarabu wa mijadala?
Ok...nijitafakari mwenyewe na wewe huna la zaidi..sawa..nimejitafakari na pia kukutafakari wewe...nimegundua kuwa wewe ni mropokaji na uelewa wako ni wa kiwango cha chini kabisa...umejaa mihemuko ya kijamii na pengine ya kisiasa...Wewe jitafakari mwenyewe sina la zaid.