A
Anonymous
Guest
Kiukweli Mimi hii hali ya wakatisha tiketi wa mwendokasi kituo cha kimara kuweka salio kwenye kadi tofauti na kiasi cha fedha inanikata sana.
Mara ya kwanza nilidhani ni bahati mbaya lakini mpaka sasa ninathibitisha kua ndo michezo yao, kwanza hawatoi risiti, Mara ya pili nilitoa elfu tatu nikampa aniwekee ile nime-scan nikapita lakini salio nikaona imebaki buku, nikawazaa nikaona acha nikapambanie mkate.
Sasa Jana nimetoa elfu tano nikamwambia aniwekee elfu tatu, ni kweli chenji nilipewa elfu mbili lakini salio liliwekwa elfu mbili pia.
Kiukweli inaumiza sana, kwanza nauli imepanda bila taarifa, bado wanatufanyia mambo Kama haya. Hakuna risiti na mambo Kama hayo inaboa. Badilikeni mtakuja kupigwa