Malalamiko: kampuni ya umeme mbadala zola ichunguzwe

Malalamiko: kampuni ya umeme mbadala zola ichunguzwe

Tunkamanin

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
955
Reaction score
866
Kampuni hii ilijijengea jina na heshima kubwa sana kwa watanzania hususan vijijini kwa kusaidia kutoa suluhisho LA umeme mbadala. Kwa sasa hawa jamaa wanatumia jina lao kulaghai watu.

Ni warongo sana watu hawa kwa wateja wao.
Ukiwalipa pesa ili wakufungie mtambo, pasa wanakula na mtambo hipati utapigishwa story tu za customer care za kuwa mvumilivu, Luna changamoto, nk
Kwakweli serikali itupie jicho huku RAIA wanatapeliwa na hawa wahuni.
 
Ndio hawahawa, na hata kwa siku unawalipa. Wahuni watupu, hao.
 
Back
Top Bottom