Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,828
- 1,664
Nawasalimu,
Nawasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya barabara ya Pangani–Machinjio Mapya.
Barabara hiyo imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu na haijawahi kufanyiwa matengenezo kwa kutumia greda kwa kipindi kirefu, hali inayowasababishia usumbufu na changamoto kubwa watumiaji wa barabara hiyo.
Tunaomba msaada wenu kufikisha malalamiko haya kwa mamlaka husika ili hatua zichukuliwe kuboresha barabara hiyo.