KERO Malalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrap)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Ngurumbizi

Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
97
Reaction score
114
Kwa: Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Reli Tanzania (TRC)
S.L.P 76959
Dar es Salaam, Tanzania

Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR

Ndugu Mkurugenzi,

Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrapping) kabla ya kuingia kwenye treni.

Taratibu hizi ni kinyume na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (GN No. 291/2022) inayopiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nchini. Aidha, hakuna waraka wowote wa TRC unaoonyesha kuwa wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria. Hali hii inawapa usumbufu wananchi na inaibua maswali kuhusu uhalali wa mchakato huo.

Naomba TRC itoe kauli rasmi juu ya suala hili, pamoja na kueleza kwanini wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria.

Natumaini hoja hii itapewa uzito unaostahili kwa kuzingatia haki za abiria na utunzaji wa mazingira.

Wako kwa ujenzi wa taifa,
Dudumizi Ngurumbizi
 
Nikajua Nilikereka mwenyewe.
Na garama yake ni 5000
 
Kwakweli hii ni kero kubwa sana, mbaya zaidi ni lazima ukiwa na kamzigo kako halafu bei haiendani na aina ya mzigo. Wanakera sana
 
Kwa: Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Reli Tanzania (TRC)
S.L.P 76959
Dar es Salaam, Tanzania

Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR

Ndugu Mkurugenzi,

Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrapping) kabla ya kuingia kwenye treni.

Taratibu hizi ni kinyume na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (GN No. 291/2022) inayopiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nchini. Aidha, hakuna waraka wowote wa TRC unaoonyesha kuwa wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria. Hali hii inawapa usumbufu wananchi na inaibua maswali kuhusu uhalali wa mchakato huo.

Naomba TRC itoe kauli rasmi juu ya suala hili, pamoja na kueleza kwanini wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria.

Natumaini hoja hii itapewa uzito unaostahili kwa kuzingatia haki za abiria na utunzaji wa mazingira.

Wako kwa ujenzi wa taifa,
Dudumizi Ngurumbizi
Mkurungezi endelea kukazaa standards zote hizo kama kwenye ndege ukicheza na nyani mradi wa Sgr utakuwa mchafu kama mwendo kasi walianza na standards za ulaya sasa hivi wako standards za mbagala

Mkurungezi kaza hakuna kupakia kuku sijui vipeto vya mahindi

Watu wa type yako mwandishi mmezoea sana kuharibu miradi na kuifanya iwe changanyikeni so Mkurungezi hii barua ikifika ofisini kwako chambia usikilize mtu ...wewe angali je japan kwenye reli za mwendo kasi wana standards gani una copy una leta .....ukisikiliza waha wataleta standards za reli ya kigoma reli ya kati aka gogo ..... watu wa rap na naironi mizigo kama kwenye ndege au ulaya
 
Deni la Taifa jaman. Kwa mmeshasahau mara hii? Taifa stars inahitaji 1B kama itachikua Chan, na milion 20 kila goli. Bila hivo mnadhan tutapata wapi pesa hizo? Taifa ni letu sote tuwajibike😊
 
Kwa: Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Reli Tanzania (TRC)
S.L.P 76959
Dar es Salaam, Tanzania

Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR

Ndugu Mkurugenzi,

Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrapping) kabla ya kuingia kwenye treni.

Taratibu hizi ni kinyume na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (GN No. 291/2022) inayopiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nchini. Aidha, hakuna waraka wowote wa TRC unaoonyesha kuwa wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria. Hali hii inawapa usumbufu wananchi na inaibua maswali kuhusu uhalali wa mchakato huo.

Naomba TRC itoe kauli rasmi juu ya suala hili, pamoja na kueleza kwanini wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria.

Natumaini hoja hii itapewa uzito unaostahili kwa kuzingatia haki za abiria na utunzaji wa mazingira.

Wako kwa ujenzi wa taifa,
Dudumizi Ngurumbizi
Nilisikia kile kitengo ni cha aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa TRC Masanja Kadogosa na kaajiri ndugu zake pale wanakula pesa. Hii ni uhujumu uchumi tuu na kuna mambo mengi ya hovyo yanafanyika kwenye mashirika ya serikali yanayoitia hasara serikali ila kwa sababu wahusika ni wao basi ubadhirifu unaendelea tuu.
Nitaandika siku moja jinsi nilivyoshuhudia TRC ikihujumiwa waziwazi na wafanyakazi na wote wanaona na hakuna hatua zinazochukuliwa kuokoa shirika sababu rushwa za kipumbavu tuu.
 
Kwa: Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Reli Tanzania (TRC)
S.L.P 76959
Dar es Salaam, Tanzania

Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR

Ndugu Mkurugenzi,

Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrapping) kabla ya kuingia kwenye treni.

Taratibu hizi ni kinyume na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (GN No. 291/2022) inayopiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nchini. Aidha, hakuna waraka wowote wa TRC unaoonyesha kuwa wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria. Hali hii inawapa usumbufu wananchi na inaibua maswali kuhusu uhalali wa mchakato huo.

Naomba TRC itoe kauli rasmi juu ya suala hili, pamoja na kueleza kwanini wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria.

Natumaini hoja hii itapewa uzito unaostahili kwa kuzingatia haki za abiria na utunzaji wa mazingira.

Wako kwa ujenzi wa taifa,
Dudumizi Ngurumbizi
Huenda kuwadhibiti chawa wanaotoka kwenye mizigo ya wanaccm.
 
Mkurungezi endelea kukazaa standards zote hizo kama kwenye ndege ukicheza na nyani mradi wa Sgr utakuwa mchafu kama mwendo kasi walianza na standards za ulaya sasa hivi wako standards za mbagala

Mkurungezi kaza hakuna kupakia kuku sijui vipeto vya mahindi

Watu wa type yako mwandishi mmezoea sana kuharibu miradi na kuifanya iwe changanyikeni so Mkurungezi hii barua ikifika ofisini kwako chambia usikilize mtu ...wewe angali je japan kwenye reli za mwendo kasi wana standards gani una copy una leta .....ukisikiliza waha wataleta standards za reli ya kigoma reli ya kati aka gogo ..... watu wa rap na naironi mizigo kama kwenye ndege au ulayaush

Ushawahi kusafiri na ndege? Huko Airport abiria halazimishwi kuwrap mzigo. Ni hiyari
 
Kwa: Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Reli Tanzania (TRC)
S.L.P 76959
Dar es Salaam, Tanzania

Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR

Ndugu Mkurugenzi,

Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrapping) kabla ya kuingia kwenye treni.

Taratibu hizi ni kinyume na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (GN No. 291/2022) inayopiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nchini. Aidha, hakuna waraka wowote wa TRC unaoonyesha kuwa wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria. Hali hii inawapa usumbufu wananchi na inaibua maswali kuhusu uhalali wa mchakato huo.

Naomba TRC itoe kauli rasmi juu ya suala hili, pamoja na kueleza kwanini wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria.

Natumaini hoja hii itapewa uzito unaostahili kwa kuzingatia haki za abiria na utunzaji wa mazingira.

Wako kwa ujenzi wa taifa,
Dudumizi

Mradi wa Kadogosa?
 
Linakera hatari, siku natokea Dodoma nilikuwa na kiboksi kidogo wakalazimisha eti elfu 5 wakakomaa alafu walizungusha mara moja tu na sio box Zima.....nikajua serikali imeajiri majambazi wengine SGR, kwahiyo serikali yetu ipo busy kubuni miradi mipya ili iendelee kuajiri mtumishi Jambazi. Haya ni majambazi pamoja na maboss zao
 
Nikajua Nilikereka mwenyewe.
Na garama yake ni 5000
Biashara zao hizo.

Sawa na mabasi ya route ndefu na zenye vumbi na wao pale kwenye ofisi zao kuna mtu maalum anafanya hizo biashara wala hauambiwi unashangaa unalipiahwa 2000 kisa hilo takataka ambalo hukuambiwa na hulitaki!!.
 
Back
Top Bottom