Ngurumbizi
Member
- Aug 8, 2011
- 97
- 114
- Thread starter
- #21
Tukiangalia kwenye angel ya mazingira nadhani TRC wanafanya uharifu.Inabidi NEMC watoe tamko pia
Ngoja tuwaandikie NEMC naoPunguza ujuaji Dada
Tukiangalia kwenye angel ya mazingira nadhani TRC wanafanya uharifu.Inabidi NEMC watoe tamko pia
Ngoja tuwaandikie NEMC naoPunguza ujuaji Dada
Huna akili wewe. Mwenzako anazungumzia plastics (ambazo kwanza zilishapigwa marufuku na serikali) were unaleta mambo ya kuku, vipeto.Mkurungezi endelea kukazaa standards zote hizo kama kwenye ndege ukicheza na nyani mradi wa Sgr utakuwa mchafu kama mwendo kasi walianza na standards za ulaya sasa hivi wako standards za mbagala
Mkurungezi kaza hakuna kupakia kuku sijui vipeto vya mahindi
Watu wa type yako mwandishi mmezoea sana kuharibu miradi na kuifanya iwe changanyikeni so Mkurungezi hii barua ikifika ofisini kwako chambia usikilize mtu ...wewe angali je japan kwenye reli za mwendo kasi wana standards gani una copy una leta .....ukisikiliza waha wataleta standards za reli ya kigoma reli ya kati aka gogo ..... watu wa rap na naironi mizigo kama kwenye ndege au ulaya
Mknd.... wa mamakooHuna akili wewe. Mwenzako anazungumzia plastics (ambazo kwanza zilishapigwa marufuku na serikali) were unaleta mambo ya kuku, vipeto.
Akabidhiwe mkononi na aifungue kabla mkabidhi ajaondoka.Mkurugenzi asijifanye hajaona hii barua.
Achukue hatua.
Wrapping ya mizigo kwenye ndege haijawahi kuwa lazima; ni optional kwa anayetaka. Hoja hapa ni kwanini iwe lazima kwenye SGR?Mkurungezi endelea kukazaa standards zote hizo kama kwenye ndege ukicheza na nyani mradi wa Sgr utakuwa mchafu kama mwendo kasi walianza na standards za ulaya sasa hivi wako standards za mbagala
Mkurungezi kaza hakuna kupakia kuku sijui vipeto vya mahindi
Watu wa type yako mwandishi mmezoea sana kuharibu miradi na kuifanya iwe changanyikeni so Mkurungezi hii barua ikifika ofisini kwako chambia usikilize mtu ...wewe angali je japan kwenye reli za mwendo kasi wana standards gani una copy una leta .....ukisikiliza waha wataleta standards za reli ya kigoma reli ya kati aka gogo ..... watu wa rap na naironi mizigo kama kwenye ndege au ulaya
Ukiacha binadamu, viumbe hai vingine vyote vikatazwe kwenye SGR.Siongei na waha mimi hutak panda bus na kuku wako au mahindi yako...
Kwa anayetaka; sio lazima.wraping huwa ipo hata airport. ila juz wamechkua vipande vya kuku wa kuchoma mzima wanasema umalize palepale
Mama yako ana kisado.Mknd.... wa mamakoo
Ndo shida ya kuzaliwa na malaya aliyehongwa chips ukazaliwa unakuja kusumbua watu jeifuMama yako ana kisado.
Kuku pia una m wrap?!Siongei na waha mimi hutak panda bus na kuku wako au mahindi yako...
Hii ndio hoja ya msingi, kuifanya wrapping iwe lazima eti. Wengine hizi taratibu wanaziona duniani huko na kuziiga tu na vihoja vyepesiWrapping ya mizigo kwenye ndege haijawahi kuwa lazima; ni optional kwa anayetaka. Hoja hapa ni kwanini iwe lazima kwenye SGR?
kwa bahati mbaya, hivyo ndivyo ilivyo kwa nchi nyingi, na siamini kama GN inayohusu mifuko ya plastic falls under that scenario. kwa ajili ya usafi katika international standard, nchi zilizoendelea ukiwa na mizigo ya hivyo hata bila sheria satu wamejichuni kufany hivyo, ni kiwango tu cha ustaarabu, kwanza ulinzi wa mzigo wako usijechanwa au fumuka njiani, pili ni standard ya usafi. nashauri kwa SGR yetu tusije tukaifanya iwe kama DART, lazima tuhakikishe ipo kwenye international standard, kwa sababu watu wetu tunawajua. aina ya mizigo yetu mabegi na mafurushi yetu tunaijua, sisi wabongo tunajuana, bila kuweka vimashart fulani itafika watu toka nchi za wenzetu wakija hapa wataona SGR ya kwetu ni ya kichafuchafu haina usafi wala ustaarabu. tuvumilie na kama shida ni sheria, sidhani kama inafall hapo, kama issue ni garama, mabasi yapo, waende tu huko. haya ni mawazo yangu na huu ni mjadala kila mtu anatoa mawazo yake.Kwa: Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Reli Tanzania (TRC)
S.L.P 76959
Dar es Salaam, Tanzania
Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR
Ndugu Mkurugenzi,
Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrapping) kabla ya kuingia kwenye treni.
Taratibu hizi ni kinyume na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (GN No. 291/2022) inayopiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nchini. Aidha, hakuna waraka wowote wa TRC unaoonyesha kuwa wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria. Hali hii inawapa usumbufu wananchi na inaibua maswali kuhusu uhalali wa mchakato huo.
Naomba TRC itoe kauli rasmi juu ya suala hili, pamoja na kueleza kwanini wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria.
Natumaini hoja hii itapewa uzito unaostahili kwa kuzingatia haki za abiria na utunzaji wa mazingira.
Wako kwa ujenzi wa taifa,
Dudumizi Ngurumbizi
wanataka watu tukipanda mle, tukutane na mavi ya kuku, masamaki kama unatoka feri, mavitu ya ajabu ajabu. tunahitaji international standard, sio sgr iwe kama DART. kwa level ile inayoendelea sasaivi, hata nje ipo ivyo ivyo kuanzia ulinzi, usafi, muda, ustaarabu kila kitu. asiyeweza aende kwenye mabasi atuachie SGR akiona anaweza kufunzika arudi tuendelee kupanga pamoja.Mkurungezi endelea kukazaa standards zote hizo kama kwenye ndege ukicheza na nyani mradi wa Sgr utakuwa mchafu kama mwendo kasi walianza na standards za ulaya sasa hivi wako standards za mbagala