Ngurumbizi
Member
- Aug 8, 2011
- 97
- 114
Nikajua Nilikereka mwenyewe.Kwa: Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Reli Tanzania (TRC)
S.L.P 76959
Dar es Salaam, Tanzania
Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR
Ndugu Mkurugenzi,
Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrapping) kabla ya kuingia kwenye treni.
Taratibu hizi ni kinyume na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (GN No. 291/2022) inayopiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nchini. Aidha, hakuna waraka wowote wa TRC unaoonyesha kuwa wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria. Hali hii inawapa usumbufu wananchi na inaibua maswali kuhusu uhalali wa mchakato huo.
Naomba TRC itoe kauli rasmi juu ya suala hili, pamoja na kueleza kwanini wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria.
Natumaini hoja hii itapewa uzito unaostahili kwa kuzingatia haki za abiria na utunzaji wa mazingira.
Wako kwa ujenzi wa taifa,
Dudumizi Ngurumbizi
Mkurungezi endelea kukazaa standards zote hizo kama kwenye ndege ukicheza na nyani mradi wa Sgr utakuwa mchafu kama mwendo kasi walianza na standards za ulaya sasa hivi wako standards za mbagalaKwa: Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Reli Tanzania (TRC)
S.L.P 76959
Dar es Salaam, Tanzania
Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR
Ndugu Mkurugenzi,
Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrapping) kabla ya kuingia kwenye treni.
Taratibu hizi ni kinyume na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (GN No. 291/2022) inayopiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nchini. Aidha, hakuna waraka wowote wa TRC unaoonyesha kuwa wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria. Hali hii inawapa usumbufu wananchi na inaibua maswali kuhusu uhalali wa mchakato huo.
Naomba TRC itoe kauli rasmi juu ya suala hili, pamoja na kueleza kwanini wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria.
Natumaini hoja hii itapewa uzito unaostahili kwa kuzingatia haki za abiria na utunzaji wa mazingira.
Wako kwa ujenzi wa taifa,
Dudumizi Ngurumbizi
Nilisikia kile kitengo ni cha aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa TRC Masanja Kadogosa na kaajiri ndugu zake pale wanakula pesa. Hii ni uhujumu uchumi tuu na kuna mambo mengi ya hovyo yanafanyika kwenye mashirika ya serikali yanayoitia hasara serikali ila kwa sababu wahusika ni wao basi ubadhirifu unaendelea tuu.Kwa: Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Reli Tanzania (TRC)
S.L.P 76959
Dar es Salaam, Tanzania
Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR
Ndugu Mkurugenzi,
Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrapping) kabla ya kuingia kwenye treni.
Taratibu hizi ni kinyume na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (GN No. 291/2022) inayopiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nchini. Aidha, hakuna waraka wowote wa TRC unaoonyesha kuwa wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria. Hali hii inawapa usumbufu wananchi na inaibua maswali kuhusu uhalali wa mchakato huo.
Naomba TRC itoe kauli rasmi juu ya suala hili, pamoja na kueleza kwanini wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria.
Natumaini hoja hii itapewa uzito unaostahili kwa kuzingatia haki za abiria na utunzaji wa mazingira.
Wako kwa ujenzi wa taifa,
Dudumizi Ngurumbizi
Huenda kuwadhibiti chawa wanaotoka kwenye mizigo ya wanaccm.Kwa: Mkurugenzi Mkuu

Mkurungezi endelea kukazaa standards zote hizo kama kwenye ndege ukicheza na nyani mradi wa Sgr utakuwa mchafu kama mwendo kasi walianza na standards za ulaya sasa hivi wako standards za mbagala
Mkurungezi kaza hakuna kupakia kuku sijui vipeto vya mahindi
Watu wa type yako mwandishi mmezoea sana kuharibu miradi na kuifanya iwe changanyikeni so Mkurungezi hii barua ikifika ofisini kwako chambia usikilize mtu ...wewe angali je japan kwenye reli za mwendo kasi wana standards gani una copy una leta .....ukisikiliza waha wataleta standards za reli ya kigoma reli ya kati aka gogo ..... watu wa rap na naironi mizigo kama kwenye ndege au ulayaush
Ushawahi kusafiri na ndege? Huko Airport abiria halazimishwi kuwrap mzigo. Ni hiyari
Hahahaha hapo ndiyo mwisho wako wa kufikiria ulipofikia πππππππSiongei na waha mimi hutak panda bus na kuku wako au mahindi yako...
Kwa: Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Reli Tanzania (TRC)
S.L.P 76959
Dar es Salaam, Tanzania
Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR
Ndugu Mkurugenzi,
Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrapping) kabla ya kuingia kwenye treni.
Taratibu hizi ni kinyume na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (GN No. 291/2022) inayopiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nchini. Aidha, hakuna waraka wowote wa TRC unaoonyesha kuwa wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria. Hali hii inawapa usumbufu wananchi na inaibua maswali kuhusu uhalali wa mchakato huo.
Naomba TRC itoe kauli rasmi juu ya suala hili, pamoja na kueleza kwanini wrapping hiyo ni ya lazima kwa abiria.
Natumaini hoja hii itapewa uzito unaostahili kwa kuzingatia haki za abiria na utunzaji wa mazingira.
Wako kwa ujenzi wa taifa,
Dudumizi
Mradi wa Kadogosa?
Lengo ni hiyo fedha. Tanzania wananchi wamekuwa kama makondoo kiasi ambacho mtu anabuni kitu chochote ili kujipatia kipato.Nikajua Nilikereka mwenyewe.
Na garama yake ni 5000
Biashara zao hizo.Nikajua Nilikereka mwenyewe.
Na garama yake ni 5000
Punguza ujuaji DadaTukiangalia kwenye angel ya mazingira nadhani TRC wanafanya uharifu.Inabidi NEMC watoe tamko pia