KERO Malalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrap)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
wraping huwa ipo hata airport. ila juz wamechkua vipande vya kuku wa kuchoma mzima wanasema umalize palepale
 
Huna akili wewe. Mwenzako anazungumzia plastics (ambazo kwanza zilishapigwa marufuku na serikali) were unaleta mambo ya kuku, vipeto.
 
Wrapping ya mizigo kwenye ndege haijawahi kuwa lazima; ni optional kwa anayetaka. Hoja hapa ni kwanini iwe lazima kwenye SGR?
 
Wrapping ya mizigo kwenye ndege haijawahi kuwa lazima; ni optional kwa anayetaka. Hoja hapa ni kwanini iwe lazima kwenye SGR?
Hii ndio hoja ya msingi, kuifanya wrapping iwe lazima eti. Wengine hizi taratibu wanaziona duniani huko na kuziiga tu na vihoja vyepesi
 
kwa bahati mbaya, hivyo ndivyo ilivyo kwa nchi nyingi, na siamini kama GN inayohusu mifuko ya plastic falls under that scenario. kwa ajili ya usafi katika international standard, nchi zilizoendelea ukiwa na mizigo ya hivyo hata bila sheria satu wamejichuni kufany hivyo, ni kiwango tu cha ustaarabu, kwanza ulinzi wa mzigo wako usijechanwa au fumuka njiani, pili ni standard ya usafi. nashauri kwa SGR yetu tusije tukaifanya iwe kama DART, lazima tuhakikishe ipo kwenye international standard, kwa sababu watu wetu tunawajua. aina ya mizigo yetu mabegi na mafurushi yetu tunaijua, sisi wabongo tunajuana, bila kuweka vimashart fulani itafika watu toka nchi za wenzetu wakija hapa wataona SGR ya kwetu ni ya kichafuchafu haina usafi wala ustaarabu. tuvumilie na kama shida ni sheria, sidhani kama inafall hapo, kama issue ni garama, mabasi yapo, waende tu huko. haya ni mawazo yangu na huu ni mjadala kila mtu anatoa mawazo yake.
 
wanataka watu tukipanda mle, tukutane na mavi ya kuku, masamaki kama unatoka feri, mavitu ya ajabu ajabu. tunahitaji international standard, sio sgr iwe kama DART. kwa level ile inayoendelea sasaivi, hata nje ipo ivyo ivyo kuanzia ulinzi, usafi, muda, ustaarabu kila kitu. asiyeweza aende kwenye mabasi atuachie SGR akiona anaweza kufunzika arudi tuendelee kupanga pamoja.
 
aMNASHINDWA KUELEZEWA. KU WRAP MZIGO NI KUKINGA KIMIMiNIKA KAMA KUMWAGIKA.NA KULETA HARIFU PIA KUNGUNI. KAMA UNA KUKU PANDA SHABINB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…