Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

Nakuunga mkono kwa asilimia 100.Mfumo wetu wa Elimu unaangalia mtu aliyefaulu mtihani na si vinginevyo.Tena ufaulu wa A kwa wanafunzi wote.Hata mzazi anapotaka kupeleka mtoto shule haangalii shule inayotoa likizo yote kwa watoto bali inayofaulisha watoto wengi kwenye mitihani.
 
Nakuunga mkono kwa asilimia 100.Mfumo wetu wa Elimu unaangalia mtu aliyefaulu mtihani na si vinginevyo.Tena ufaulu wa A kwa wanafunzi wote.Hata mzazi anapotaka kupeleka mtoto shule haangalii shule inayotoa likizo yote kwa watoto bali inayofaulisha watoto wengi kwenye mitihani.
 
Hivi kwani darasa LA NNE kuna mtihani bado.unaweza kunipa mfano WA mtoto aliyefeli mtihani huo.
Hapa tusidanganyane.darasa la NNE hakuna mtihani Bali ni upimaji.wote ni kufagia waende mbele.kila aanzaye sharti ahitimu LA saba.no relegation.enzi zetu ndo tulikuwa tunachujwa sio Leo.

Mtoto WA standard four ni mdogo mno.ana miaka 8.unamnyimaje likizo tena kwa upimaji (maana sio mtihan) usio na mchujo.
Maana Sera ni kwamba wote lazima wasongembele
 
Tatizo la Mtaala wetu ni mtambuka
Mnataka historia ya Tanzania ifundishwe kila mahali
Lazima uchague nini unakula nini hauli
Kila mwanasiasa akija anataka nae ufundishwe kila darasa
Hatutofika
 
Hawa ni atlas pamoja na agizo la serikali Watoto kutobaki shuleni kipindi cha likizo wao wamepuuza,yan mock iwepo may 2022 wao wazuie watoto dec 2021 kuanzia jan 2022 hadi may ina maana muda auwatoshi wa kuwaandaa watoto,kama sio wizi kitu gani!

 
Nani anaelewa neno "Kubundi"?
Hata kama sio Waalimu, wengi wa wanafunzi wenyewe wanajiongeza.
Hivi kweli msaka maisha unaweza ukalala saa nne usiku mpaka kesho? Una kichwa cha aina gani? (anyway, wapo wachache ambao wanaitwa 'giniasi')
 

Hili halikubaliki! Na taarifa ziwafikie Atladi kwamba hili tumelikataa!
 
Mkuu si ondoa tu mtoto wako kama anateseka peleka shule za serikali. Unafikiri ufaulu mzuri wa shule binafsi unakuja kilele mama
 
Mkuu si ondoa tu mtoto wako kama anateseka peleka shule za serikali. Unafikiri ufaulu mzuri wa shule binafsi unakuja kilele mama
Wewe jinga watu tumesomesha hapo kuanzia nuresry till now Watoto anaingia form 4,na mwingine wiki hii anapiga paper la kumaliza form 4,kinachopingwa hapo ni huo wizi wa wazi anaotaka kutuibia Wazazi,hiyo laki na 35 kwa Watoto 75 jamaa kishapiga hesabu ana mln 10 na kitu,hizo wiki 2 atumii zaidi ya mln 2 kuwahudumia hao Watoto,na last year Watoto waliobakishwa shuleni kimtindo huu awakusomeshwa zaidi ya kupewa notice maana awatokua na walimu,hiyo laki 35 ni bora nimchukue Mwanangu nimlipie tuition ya 60 kipindi akiwa nyumbani kuliko kubaki shule,binafsi mwaka huu simuachi Mwanangu pale japo kwa mujibu wa mkuu wa shule ni lazima Mtoto abaki,Mwanangu abaki na nataka nione atakavyokosa namba mwakani kosa la kutobaki shule dec
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…