Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Akumbuke pia TCRA nao wanatakiwa kupeleka gawio serikalini, hivyo asifikiri kampeni za simu zimejiamulia wenyewe kuongeza gharamaChakaza,
Kama line milioni 20 zinafungiwa unadhani haya makampuni ya simu yatajiendeshaje?Kumbuka fixed costs zao ziko pale pale!
Mkuu Hicho kifurushi
Kumbe hata wanaccm mmeguswa ! basi mimi nikajua kwa vile simu zenu mmepewa na Pole pole basi labda kutakuwa na nafuuKupunguza Vifurushi na jambo moja
Jambo Baya sana
Umejikongoja kupata hako ka GB
Yaani Kanavyo isha !!
Kiukweli Mitandao imekuwa Majanga kwa sasa
Mie napata Data safi shida GB 5
Zinapita kwa Muda mfupi sana tofauti na Zaman
Kote Hali Ni mbaya, waliozimiwa laizi zao ni hasala kwa kampun,na wao walisha fanya hesabu ifidiwe kwa walio hewani kwa njia pekee ya vifurushiKuna mitandao 5 hujashikiwa kisu ubakie ulipo. Tusilalamike kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chakaza,
Kama line milioni 20 zinafungiwa unadhani haya makampuni ya simu yatajiendeshaje?Kumbuka fixed costs zao ziko pale pale!
Ukiweka vocha inakubali?Mimi sielewi! Voda nimeshafungiwa simu hazitoki ila mnara unasoma na simu zinaingia naperuzi kama kawaida sasa ndio wamefunga nini hawa mafi?
Voda ni shida kweli 2500 unapata mb 500
Sijajaribu Nina kifurushi hakijaisha muda wake kupiga haitoki ila internet inafunguka.
Komenti za kipumbavu kama hizi huwa hazikosi..[emoji87]Kuna mitandao 5 hujashikiwa kisu ubakie ulipo. Tusilalamike kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikweli labda menu yako tuVoda mbona wanatoa 1GB kwa 1000 tena kwa siku 10
na kweli,mimi menu ile nmepga nmekutana na MB 100 kwa 1000
Ttcl nilinunua ipo active city centre ukitoka tu hamna kituVoda ni shida kweli 2500 unapata mb 500
Wakati Ttcl napata kwa bei hiyo Gb 3
Mm ntajiunga voda sms za mwezi tu .
Sent using Jamii Forums mobile app