Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ttcl ipo juu, kwa buku unapewa GB 4 asubuhi mpaka SAA mbili usiku unapewa 500 alafu unamalizia GB 3.5 kuanzia saa mbili usiku mpaka kukuche, na speed ni 4G
Kwa wengine wenye connections wanaungwagwa data lisilo na kikomo Voda kwa 35,000 kwa mwezi, naskia hili lipo kwa wafanyakazi wa Voda ila limevujishwa, kuna mshkaji wangu hata mwezi haujaisha kashusha gb mia nane hadi sasa maana anashushia wenzake movie na series