Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Sio lazima kuingia online daily,
Panga kwa wiki Mara mbili inatosha
 
Kuanzia jana naona mambo yamekuwa hovyo hovyo. Au CCM wameshaanza ulaghai wa hela za kampeni? Maana haya majitu huwa yanatembeaga kichwa chini miguu juu. Ni yakunyongelea mbali basi tu tunawachukulia kuwa wana pumzi ya Mungu.
 
TCRA wangepiga marufuku hivi vifurushi vya wiki, siku sijui vifurushi vya usiku,vingine mitandao mingine huwezi kupiga,wote ni wizi tu,nchi zilizopiga hatua hamna ujinga kama huo,kifurushi ni mwezi tu na utalipa kadri utakavyotumia,ukitumia matumizi kitaisha kabla ya mwezi,na kwenye kupiga kawaida hamna mipaka unapiga tu mtandao wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Wataweza kweli? ..aa wapi!
Kushindana nasi?...aa wapi!
Hata wakiungana?...aa wapi!
Matusi kututukana?...aa wapi!

TTCL Babalao!!
 
Mbaya zaidi Saizi yako kuna wakati kifurushi cha 1000/= saa 24 kinakuja mb 300 na bonus mb 900.wakati mwingine saizi yako hiyo hiyo kinakuja kifurushi kingine dak 25,mb 100,sms 20 saa 24 kwa sh hiyo hiyo 1000/=! Nilichogundua unapokuwa huna balance (airtime au tigo pesa) ndio kinakuja hicho chenye bonus ya mb 900!....it is disgusting.
 
Sasa wanakupa dakika zote hizo za kupiga usiku umpigie nani! Mara nyingi simu za usiku ni za dharura, huwa hatuongei sana, labda wanafunzi
 
Sahiv wanataka mpka ununue kifurushi kwa njia ya Halopesa hawa nao ni wa dwanzi balaa ndo unapaya 1000>1GB kwa wiki
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…