mwinyikaswa
Senior Member
- Jun 21, 2019
- 184
- 216
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah mkuu wengine online wanapiga biashara sasa sijui unataka kuwashauri nini hao?Sio lazima kuingia online daily,
Panga kwa wiki Mara mbili inatosha
inategemea na laini sio zoteVoda mbona wanatoa 1GB kwa 1000 tena kwa siku 10
Voda ya nchi gani?Voda mbona wanatoa 1GB kwa 1000 tena kwa siku 10
Turudie taratibu za enzi za mababu kufanya biasharaDah mkuu wengine online wanapiga biashara sasa sijui unataka kuwashauri nini hao?
Ttcl nilinunua ipo active city centre ukitoka tu hamna kitu
Voda mbona wanatoa 1GB kwa 1000 tena kwa siku 10
Halotel nao wadwanzi kubabake zao
Kifurushi cha kupitia halopesa kilikua kina dakika 100 na GB1 saizi wamefyeka dakika 90 wametuachia 10
Kama hiyo haitoshi kuna ile night pack ya ofa tulikua tunaipata kwa buku halafu unlimited tena yenye kasi kubwa, saizi imekua buku jero halafu kuanzia saa sita lina speed ya JB, mpaka saa tisa na nusu hivi ndo utaona speed ya Usain Bolt.