Jamaa wanaleta dharau sanahawa Tigo wanapoelekea, ipo siku nitawaomba TIGO.
Tokea juzi sijaweka vocha kutokana na ushenzi walionifanyia
Hata mimi nilishangaa mkuu ila ndio hivo ni ISP hata kwa mitandao mingine hii mikubwa na makampuni mengi. Hata kuna maeneo minara ya hizi simu haijafika basi wanagongea ya TTCL so jamaa ''wanakula hela kimasihara''TTCL hii hii ya Bongo ni ISP kwa makampuni lukuki na minara ya simu?
Network yake hadi nipande kwenye kichuguu sijawahi kuiona 3G ya TTCL mimi
Jamaa wanaleta dharau sana
Hiki ni kikwazo cha mawasiliano
2000, 3000 & 5000.. ndo zimepewa dhamana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku tigo utawaomba tigo kitombise!hawa Tigo wanapoelekea, ipo siku nitawaomba TIGO.
Tokea juzi sijaweka vocha kutokana na ushenzi walionifanyia
Ungekuwa unatafuta hela usingepata muda wa kuwashangaa wanaolalamikia vifurushi. Muda umetoa wapi wa kusoma comments zao.Hivi mnapata wapi muda wa kulalamikia vifurushi badala ya kutafuta hela?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ni kuyasusia haya makampuni tuone Kama yatajiendeshaHawa jamaa ni noma halotel ndiyo msiba ukiweka 7GB ndani ya siku moja wamesha zimaliza..
nafikiri kutakuwa na mkono wa serikali kukusanya hela za kukamilisha miradi....