Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Kigogo amesema kwamba Meko ametangaza tenda ya bilioni 7 kuzuia Whatsapp na feki accounts zisifanye kazi.
 
TTCL hii hii ya Bongo ni ISP kwa makampuni lukuki na minara ya simu?
Network yake hadi nipande kwenye kichuguu sijawahi kuiona 3G ya TTCL mimi
Hata mimi nilishangaa mkuu ila ndio hivo ni ISP hata kwa mitandao mingine hii mikubwa na makampuni mengi. Hata kuna maeneo minara ya hizi simu haijafika basi wanagongea ya TTCL so jamaa ''wanakula hela kimasihara''
 
Saizi natumia hapa especially hapo kwenye buku 5.
Screenshot_20200126-152537.jpeg
 
Duh.. Bado unatumia Voda?
Si mlikuwa na kampeni ya kususia lain ya voda nyie?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Aliyewaita nyumbu hakukosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza,
Yaan kaka kwa hili nakuunga mkono yan hizi biashara mbili za ving'amuzi na mitandao ya simu ni kama vile.zimeshindikana kudhibitiwa na hiyo t.c.r.a sijui wanalipwa mishahara kwa ajili ya kazi zipi labda ambazo sisi wananchi wa kawaida hatuzijui au ndio washakula chao..bora sisi wananchi tuanze kampeni ya kutupa line zote za mitandao hii ya wizi
 
Back
Top Bottom