Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Watu wengine wanalazimisha mambo ya kuandika humu jukwaani kila kukicha. Mtandao gani? Vifurushi vipi? Na vimepanda kwa kiasi gani ukilinganisha na hapo awali?
 
Tukitupa tutatumia nini? Hii shida ni kupiga kelele hadi siku wasikie hakuna njia nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingsmann,
Bei ndogo ya data pia inaendana na spidi ya mtandao.

Hizi ni gharama za kutumia 4G na tukifika kwenye 5G Tz, tujiandae kununua GB moja kwa 20,000
 
Kingsmann,
MKUU UNAWEZA PEWA 5GB YA MWEZI YA TIGO MATESO YAKE UKAOMBA UNGEKUWA NA GB 1 YA VODA UJUE IMEISHA.....FWATILIA HILI....
 
Kingsmann,
WEKA VYA HALOTEL
NA TTCL JAMAN TUBALANCE PA KWENDA

NIMESOMA.POST.NIMECHEKA SANA

WALIO TIGO WANATAKA KWENDA VODA
WALIO VODA WANAKIMBILIA AIRTEL
WALIO AIRTEL WANAKIMBILIA HALOTEL
WALIO HALOTEL WANAKIMBILIA TTCL

USINIULIZE WA TTCL BADO NAFANYA UTAFITI USIKUU HUU NTAWAPA JIBU NAHISI WATAENDA VIFURUSHI VYA SMILE
 
Gb 3 ni ndogo kwa mwezi kwa mtu anayetumia Internet sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tigo mafala sana halafu eti jana yananitumia limeseji lao limeandikwa UJANJA NI... Ujanja ni kugundua vifurushi vya tigo vilivyoboreshwa piga hiyo hiyo... ujinga mtupu.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni sasahivi yani mtandao wenye nafuu kwenye maswala ya kupiga simu labda huohuo wa kimagumashi -TTCL ukifuatiwa na Zantel labda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…