Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Watu wengine wanalazimisha mambo ya kuandika humu jukwaani kila kukicha. Mtandao gani? Vifurushi vipi? Na vimepanda kwa kiasi gani ukilinganisha na hapo awali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukitupa tutatumia nini? Hii shida ni kupiga kelele hadi siku wasikie hakuna njia nyingineYaan kaka kwa hili nakuunga mkono yan hizi biashara mbili za ving'amuzi na mitandao ya simu ni kama vile.zimeshindikana kudhibitiwa na hiyo t.c.r.a sijui wanalipwa mishahara kwa ajili ya kazi zipi labda ambazo sisi wananchi wa kawaida hatuzijui au ndio washakula chao..bora sisi wananchi tuanze kampeni ya kutupa line zote za mitandao hii ya wizi
Mkuu wapi nimeandika GB 15[emoji1787][emoji1787]Hizo GB 15 za mwezi mzima umezielewa zinavyokua?
Yani unapewa limit kua kwa siku utumie MB 500 tu, ukitumia MB 500 unatakiwa usubirie kesho tena otherwise ununue bando lingine
It's Scars
Hapa ni wezi nimeweka 5000 kwa wiki wananipa dk160+90 za usiku kianzia saa 4 sasa hapa sijui unaongea na.naniTigo walipoyumba ni kwenye kifurushi cha kombo dk 500 kwa 10000/= ila 250dk (30 days) wanakupa kuanzia saa 4 usiku hadi saa 12:00 asubuhi
Hapa wameniudhi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta ya chuo mkuu, nimeambiwa ipo poa SanaNadhani inategemea na sehemu ulipo ndio utafaidi speed yake. Kuna sehemu ukiwa speed ni mwendo wa kobe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunatumia hii sana.Voda mbona wanatoa 1GB kwa 1000 tena kwa siku 10
Balaaaaaa khaaaa HAOOO hio GB moja wanayogawa wanavyojuaaaa hatareee
Voda hapana hii siaminiVoda mbona wanatoa 1GB kwa 1000 tena kwa siku 10
Wanawazidi Vodacom ?
Gb 3 ni ndogo kwa mwezi kwa mtu anayetumia Internet sanaMi pia nashangaa mbona watu wanalalamika mi naona nafuu. Nimejiunga elfu kumi kwa mwez nna dkk km 1600 hv mitandao yote. Na pia ukitaka hiyo elfu kumi kuna dkk 500 na kitu mitandao yote na gb 3 mwezi mzima. Mi nimewapenda bure naona imekua nafuu kwangu sana tu.