Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi wananchi wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo nikuuzie line yanguBinafsi juzi nimehangaika kuangalia kifurushi cha chuo kwene menu zangu lkn nimekikosa hali yakua laini yangu niyamwanachuo hadi leo sikipati
Mbona naona tigo ni cheap kuliko voda, voda najiunga bado la mwezi 30,000 napata dakika 600 GB 3 na sms kibao so nalazimika kunua data kivyake ila naona tigo 20,000 napata dakika 1,500 GB 7 na sms kibao!
Hamia Airtel unapata bando ya 1GB kwa sh 2000 siku tatu na sasahivi ni 4G mwendo wa nduki nduki.... Tigo niliwakimbia siku nyingi walishanishindaHabari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi wananchi wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wametuona sisi mafalerhapa ni kuhama tu hakuna namna maana tigo sijui wametuona ni matajiri au maf@la sana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ban unampiga wewe?
Bila shaka unatumia muda mwingi mtandaoni. Inakuingizia chochote lakini ??Mimi hununua internet na voice tofauti so naona kama bei imepungua. Nimezoea bundle la week 10gb kwa 15K lakini saiv unapata 12gb
Kukitoa kifurushi cha chuo mi ndo kwaheri ya kuonana
Nilikuwa nina mpango wa kujiunga na TTCL, lakini wewe umenichefua kabisa! Bora niendelee kuumizwa na hawa tG!Acha kuhangaika, hamia TTCL kila siku nakwambia nyumbani kumenoga, huku mabando mpaka huwezi kuyamaliza. CCM oyeeee, Magufuli oyeee....