Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Bado wana tabia za kugawa bando za internet, mara social na takataka nyingine kama hizo, kwangu sioni kama wana msaada maana hata ile huduma ya nipige tafu wananinyanyapaa eti sijakidhi vigezo, kuanzia kesho naiweka benchi naanza kutumia TTCL kujiunga na zile dk 300 kwa mwezi, tutaelewana tu..
 
Habari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi wananchi wanyonge.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona naona tigo ni cheap kuliko voda, voda najiunga bado la mwezi 30,000 napata dakika 600 GB 3 na sms kibao so nalazimika kunua data kivyake ila naona tigo 20,000 napata dakika 1,500 GB 7 na sms kibao!
 
Habari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi wananchi wanyonge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia Airtel unapata bando ya 1GB kwa sh 2000 siku tatu na sasahivi ni 4G mwendo wa nduki nduki.... Tigo niliwakimbia siku nyingi walishanishinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…