Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Tatizo ttcl poor network connection.
GB 1 huimalizi kwa wiki? Utakuwa na matumizi madogo.Mpaka najiuliza hivi TTCL ni kampuni ya baba angu maana najiunga GB 1 wiki inaisha na MB zimebaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Unalipa shingapi?Sajili Line ya royal
Utapata dk 300 halo-halo
Dk 120 mitandao yote
Internet bila kikomo mwezi nzima
Na zikibaki wanaunga mwezi unaofuata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukuangalia kifurushi unachonunua ?Mafala sana haya majamaa nmejiunga kifurush cha buku et yamenipa dakika 75 za kuongea kuanzia saa tano usiku mpaka saa kumi na moja alfajili kesho nanunua ttcl kesho
GB 1 mimi haikatizi siku ya piliMpaka najiuliza hivi TTCL ni kampuni ya baba angu maana najiunga GB 1 wiki inaisha na MB zimebaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchunguKabla ya kufikiria kuhama mtandao fikiria kutafuta hela zaidi...maanake naona waliolalamika ni wale wa bundles za chini ya dollar moja ila wale wa 30k uko wanaona wamepunguziwa mzigo
Thank me later!!
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaView attachment 1334307
Matackle Yao
GB 1 mimi haikatizi siku ya pili
Mkuu umekosea mlengwaMakampuni haya ndivyo yalivyo. Ni mbinu tu ya kuvutia wateja, hapo mkishafurika weengi mtaanza kuwatukana tu. Believe me or not.
Mkuu umekosea mlengwa
Wateja wa Tigo ni sawa na watumiaji wa simu za TECNO. Wanapenda mambo mazuri ila hawapendi kuyagharamia.
Kukitoa kifurushi cha chuo mi ndo kwaheri ya kuonana
Haha bila shakaTunaonesha uzee wetu JF. Haya ujumbe utafika tu
Mpaka najiuliza hivi TTCL ni kampuni ya baba angu maana najiunga GB 1 wiki inaisha na MB zimebaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao si wamenunuliwa na tigo mkuuMimi nshapata mbadala wa kifurushi cha chuo, ni Zantel tu 1000 unapata data 1gb sms 100 voice , hiki ni unlimited
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bei gan?
Kwa shingapi mkuuNi kweli unaperuzi huku na huku lkn haziishi
Mm nikijiunga ya gb 3 kwa ndo huwa zinabaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Tigo qumernina zenyu,yani najiunga bundle inakataa.. sasa nmeamuwa kuitumia hvyo hvyo kiboss boss bila kujiunga kifurush chochote. MMEFURAHI SASA?
leo nasajili line nyingine alafu hii yenu nampa mtoto aichezee