Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Nna gb20 kwa buku teni, labda utangulizi wa majaribio....maana washazoea najiunga elfu 50......hii ndio sahizi yangu..

Tigo wanakupa bando kulingana na saiz yako
Una GB5+GB15 Bonus kwa Siku30 @10000Tsh(VAT 1525.42Tsh thamani yake 8474.58Tsh).Piga*102*00# kuangalia salio

Nimejiunga kiroho safi tu, hampendi tigo nyie

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom