Titia
Senior Member
- Jul 3, 2013
- 155
- 114
Mi pia nashangaa mbona watu wanalalamika mi naona nafuu. Nimejiunga elfu kumi kwa mwez nna dkk km 1600 hv mitandao yote. Na pia ukitaka hiyo elfu kumi kuna dkk 500 na kitu mitandao yote na gb 3 mwezi mzima. Mi nimewapenda bure naona imekua nafuu kwangu sana tu.