Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Mi pia nashangaa mbona watu wanalalamika mi naona nafuu. Nimejiunga elfu kumi kwa mwez nna dkk km 1600 hv mitandao yote. Na pia ukitaka hiyo elfu kumi kuna dkk 500 na kitu mitandao yote na gb 3 mwezi mzima. Mi nimewapenda bure naona imekua nafuu kwangu sana tu.
 
Yan mimi kifurushi cha bei nafuu ni 3k kwa week tena bila SMS wala dk napata GB 1.5 shenzi zao kabisa na University offer wameniondolea
Sio wewe babe, hata mimi wameniondolea ofa zote nzuri.....siwezi vumulia upuuzi huo nahamia halotel😎
 
Back
Top Bottom