Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Mimi nimeweka hela tigopesa ili kulipa deni la nivushe Njanuari ila hawakati hela wanachofanya wananitumia deni limeongezeka na bado hela hawaikati mi nawacheki tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi baada ya hizi kero nimeenda Zantel kusajili laini yangu sasa sina stress tena.
 
Kwa tigo pesa Ukiwa na shilingi 10000 haiwezekani kununua umeme wa shilingi 10000 kwasababu wameweka makato

Ukitaka kununua umeme wa 10000 kwa njia ya simu tumia halotel ndo mtandao pekee ambao hauna makato kwenye manunuzi ya umeme
 
Naona soma limeanza kuwaingia baada ya kunikosa mteja wao kwa angalau wiki moja.
Akili itawakaa sawa tuu.
Hapa wanatoa hilo bando kwa nusu bei.
Kuhama kuko pale pale.
Acheni ukilaza nyie tigo.
Screenshot_2020-01-30-03-58-27.png
 
Tigo wanazingua nlikua najiunga saizi yako kwa week 2000 napata dakika 100 mitandao yote + sms 500 et sahv wameioandisha mpaka 3000 kisa wameongeza dakika zimekua 120 na sms wamepunguza zimekua 100 ...huu upuuzi waliofanya utawagharimu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hautumii voda wewe ni kiazi kitamu.
 
Back
Top Bottom