DCI Comrade One
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 557
- 718
Happy New Year,
Mods tafadhari musidelete post yangu.
Tarahe 24 Dec 2024 nilikuwa nalipia Netflix Subscription kwa kutumia Mastercard ya MIXX BY YAS lakini kwa bahati mbaya ikawa rejected huku kiwa imetoa ujumbe ufuatao,''Payment declined,please contact your card issuer'' na Uzuri ni kwamba account ilikuwa na Salio la kutosha kuweza kufanya hayo malipo.Kilichotokea ni kwamba hawa jamaa walideduct ile amount 4 times licha ya kuwa mimi nimefanya mara moja na ikawa rejected;angalia picha hii
Sasa Basi;
Niliwapigia Simu customer service kuweza kuwajulisha changamoto yangu nikajibiwa litafanyiwa kazi ndani kwa maana transactions 3 zirudi kwa account yangu ila moja itawalazimu wawasiliane na wahusika ili niweze kupata huduma nikakubaliana nao nami nikakaa kimya.
Leo; nimekuwa pissed off baada ya kupiga Simu Huduma kwa Wateja na akapokea binti ambaye baada ya kumuelezea tatizo langu kwa kina na mazungumzo Yetu yamechukua dakika 49;kwanza alikiri kuwa nikweli miamala ameiona ila natakiwa niwasiliane na mastercard ili waweze kunirudishia hizo fedha zangu,jambo ambalo nilipingana nae kwakuwa me sijaomba Virtual Master card kutoka kwa master card direct isipokuwa ni huduma ambayo yatolewa na YAS na pesa zimekatwa direct kwa account yangu.Mwisho alikata simu.
Tamko Langu:
Najua kuna wafanyakazi wa YAS humu please rudisheni pesa yangu na msiniletee utapeli wenu.