(Malalamiko)Mtandao wa YAS rudisheni pesa yangu.

Ni kweli ila kwa mfumo wao ni bora ukitaka kulipia bakisha kiasi husika tu zingine zitoe au tumia lain nyingine mtandao hata ukiyumba hautapata hasara kama ulizopata hapo
Thanks πŸ™
 
Kuna mifumo mingi sana ukilipia pesa hairudi mfano

Ukinunua salio au kifurushi

Ukituma mitandao mingine

Nahisi na hiyo huduma pia hivyo ukifanya miamala yako lazima uwe makini kuliko umakini wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…