Malalamiko na masikitiko kutoka kwa Diatta wa Senegal

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
IMG-20190627-WA0008.jpeg
 
Kitendo kilicho fanywa na watu kumdhihaki huyu mwenzetu siyo cha kiungwana kabsaaa , hizi tabia zinapaswa kukemewa vikali,

Sisi waafrika ndo wakwanza kulalamika tunabaguliwa na raia wa mataifa mengne nje na Africa, Leo hii tunajisahau na tunaanza kufanya dhihaka juu ya mwafrika mwenzetu.

Tunapaswa kuacha Mara moja hizi tabia
 
Ila hapo kwenye picha ameng'aa tofauti na alivyo ukweli ukweli
 
Kitendo kilicho fanywa na watu kumdhihaki huyu mwenzetu siyo cha kiungwana kabsaaa , hizi tabia zinapaswa kukemewa vikali,

Sisi waafrika ndo wakwanza kulalamika tunabaguliwa na raia wa mataifa mengne nje na Africa, Leo hii tunajisahau na tunaanza kufanya dhihaka juu ya mwafrika mwenzetu.

Tunapaswa kuacha Mara moja hizi tabia
Hata "Rizimoja" nilisoma post yake kule TWITA sikupenda kwa kweli kuhusu sura ya huyu kaka, aliandika vibaya mno!!!!
 
Kazi yake mola haina makosa... pole kijana, kuna muda mwingine baadhi yetu tunajiona sisi peke yetu ndio tunafaa kuwa ndani ya dunia hii.
Tunakosea sana.. Wote tukifanana hakuna atakaemjua mwenzie ndio maana hatufanani... Mungu alikuwa na makusudi yake.

Pole DIATTA
 
Kitendo kilicho fanywa na watu kumdhihaki huyu mwenzetu siyo cha kiungwana kabsaaa , hizi tabia zinapaswa kukemewa vikali,
Sisi waafrika ndo wakwanza kulalamika tunabaguliwa na raia wa mataifa mengne nje na Africa, Leo hii tunajisahau na tunaanza kufanya dhihaka juu ya mwafrika mwenzetu.
Tunapaswa kuacha Mara moja hizi tabia
Mkuu licha ya sisi kwa sisi kubaguana..
Hivi kweli mtu ambae ukitaka kunya unachuchumaa kama mbwa anavyofanya unapata wapi ubora wa kumbagua mtu mwenzio anaekunya kama wewe.. Tena mavi kunuka kabisa.
Unambagua na kumsema vibaya mtu ambae akija kwenu kuchumbia unafurahi dada yako kapata bwana tena Pro Player...??
MUNGU ATUSAMEHE SANA.. SISI WOTE NI WAKE.
 
Back
Top Bottom