Malalamiko ya CAG kwa nini TRA wasiwekwe kuwa waendesha miradi.

Malalamiko ya CAG kwa nini TRA wasiwekwe kuwa waendesha miradi.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kaka Pascal Mayalla umeeleza kuhsu TRA.

Ila mda unavyozidi kwenda mimi nawazo kuhusu ufanisi wa TRA wanavyoweza kuona kila mfanyabiashara anapata faida.

kwa nini hii miradi na pesa zinazopotea mfano mashirika mengi ya serikali pesa zinapotea wasiwe wao kama ndio wanafanya hii kazi.

Ili pato la taifa kuwa kubwa.
 
Back
Top Bottom