Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jul 4, 2026 #1 Kaka Pascal Mayalla umeeleza kuhsu TRA. Ila mda unavyozidi kwenda mimi nawazo kuhusu ufanisi wa TRA wanavyoweza kuona kila mfanyabiashara anapata faida. kwa nini hii miradi na pesa zinazopotea mfano mashirika mengi ya serikali pesa zinapotea wasiwe wao kama ndio wanafanya hii kazi. Ili pato la taifa kuwa kubwa.
Kaka Pascal Mayalla umeeleza kuhsu TRA. Ila mda unavyozidi kwenda mimi nawazo kuhusu ufanisi wa TRA wanavyoweza kuona kila mfanyabiashara anapata faida. kwa nini hii miradi na pesa zinazopotea mfano mashirika mengi ya serikali pesa zinapotea wasiwe wao kama ndio wanafanya hii kazi. Ili pato la taifa kuwa kubwa.