Hahahahhahhahahahah Mkuu umenichekesha sana, kwamba nikatabasamu na kukataaa. Hii Dunia raha sana wakati mwingine.
Hahahahahahaaaa, naomba chenji yangu mkuu.
Unayosema ni kweli kabisa mkuu, nakumbuka kipindi cha nyuma nilikuwa natumia fcbk. Ile account haina Hata pic yangu moja lakini watoto wadogo wananifata private kuomba pesa na mawasiliano, tena pesa hizo hizo ndogo, ukweli nina vidume 2 sina hamu na mtoto wa kike kabisa kabisa,
Hahaaa !! kweli ulikataa kumpa # yako mkuu, basi angalao ungempa ya kwangu, haha hahaaa!Kila mahali wapo. Mpaka huruma. Jana nilikuwa najitokea town, kwenye daladala wakati nipo busy na simu yangu. Mwanamke mdogo ki muonekane ila mzuri sana, nikasikia ananiambia naomba elfu2. Nikamuangalia sikusema kitu nikatoa elfu kumi nikampa. Baada ya muda akasema naomba number yako. Nikatabasamu na kukataa...