Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hahahahhahhahahahah Mkuu umenichekesha sana, kwamba nikatabasamu na kukataaa. Hii Dunia raha sana wakati mwingine.
Ni kweli. Nilimuangalia, nikatabasmu nae akatabasamu mara mbili yake. nikakataa kwa kichwa. Yani nikapuuza na kuendelea kuwa busy kwenye simu yangu.