Malalamiko ya Kocha wa JS Saoura kwa Waandishi wa Habari Tanzania

sangujoseph

Senior Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
164
Reaction score
183
By Sangu Joseph

Kwanza nitoe hongera kwa Klabu ya Soka ya Simba kwa ushindi walioupata wa mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura ya Algeria ni cha kujipongeza kama nchi, lakini kuna kitu nimekiona baada ya kumalizika kwa mechi ya Simba ambacho nilikuwa nikikifikiria kwa muda mrefu lakini nilikua nakosa mfano wa uhalisia hasa kwa sisi wanahabari ni juu ya malalamiko yaliyotolewa na Kocha wa Timu ya JS Saoura dhidi ya sisi waandishi wa habari wa Tanzania.
.
Wengi wanadhani hoja aliyoitoa ni kujidefence kwa sababu amepoteza mchezo lakini kwangu ilinifikirisha sana kuna Jambo moja sana ambalo huwa tunalisahau waandishi wa habari tumekuwa tukiingia kwenye mitego mara kwa mara hasa linapokuja masuala ya nchi yetu kushirikiana na mataifa mengine kuna wakati nadhani inasababishwa na baadhi yetu kutokujua au kwa makusudi.
.
Kocha wa JS Saoura analalamika kwamba amenukuliwa vibaya kuwa alisema timu yake ni changa lakini si dhaifu kama ilivyoandikwa na baadhi ya magazeti nchini japo sitaki kueleza kauli yake na kufungwa lakini tujiulize huyu mtu gazeti letu la kiswahili amejuaje kwamba tumemuandika kwa tofauti na yeye alivyosema jibu linakuja hawa watu wanabalozi zao nchini ambazo kila siku zimekuwa zikifuatilia vyombo vyetu vya habari ili kujua wameandikwaje na mwisho wanapeleka taarifa nchini kwao ndiyo yanakuja masuala ya kidiplomasia kati ya nchi yetu na zingine.
.
Sasa unapoanza kuandika kwamba Nchi fulani au Rais fulani ni mbaya tujue wale wenyewe huwa wanapokea taarifa namna ambavyo wanaandikwa kwenye nchi zai na mwisho wa siku athari inaweza isije kwa chombo husika bali ni kwa nchi kwa ujumla.
.
Nitoe mfano utakuta waandishi /watangazaji wanawaiga wanasiasa juu ya utawala wa Rais wa nchi fulani na kumpatia jina kwamba ni mroho wa madaraka, balozi wa hiyo nchi wanaandika ripoti wanapeleka nchini kwao mwisho wa siku Tunaleta uhasama baina ya nchi na nchi hata kama pengine kulikuwa na miradi ambayo inashirikiana nchi kuitekeleza inajikuta inakwana kwa sababu tu Nchi husika ilibaini kuwa Tanzania inaisema vibaya.
.
Nashauru tu sisi waandishi tujitahidi Kuwa makini sana tunapokuwa tunaandika au tunaripoti kuhusu matukio yanayohusu nchi za wenzetu kwa kuandika katika namna ambayo haitaleta mgongano baina ya nchi na nchi.
.
Insta: FB:Twit:
SANGUJOSEPH
0712861292.

#kijanamzalendo #ilovetz #maoniyangu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inawezekana ni kwa siasa za kuuza.magazeti yao wakaona waandike hivyo ili mashabiki wanunue sana gazeti hapo ndo uadilifu na dhima nzima ya uandishi inapohart ibiwa
Mfano yapo magazeti fulani ya michezo ( Siyo Bingwa wala Dimba) 90% ya vichwa vya habari vyao havioani na habari husika . Anaweza kutajwa mfano Haruna Moshi kusajiriwa Yanga ,heading ukaikuta ati YANGA YAIBOMOA KIBABE SIMBA . Wapi na wapi kweli waandishi weti vimeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By Sangu Joseph

Kwanza nitoe hongera kwa Klabu ya Soka ya Simba kwa ushindi walioupata wa mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura ya Algeria ni cha kujipongeza kama nchi, lakini kuna kitu nimekiona baada ya kumalizika kwa mechi ya Simba ambacho nilikuwa nikikifikiria kwa muda mrefu lakini nilikua nakosa mfano wa uhalisia hasa kwa sisi wanahabari ni juu ya malalamiko yaliyotolewa na Kocha wa Timu ya JS Saoura dhidi ya sisi waandishi wa habari wa Tanzania.
.
Wengi wanadhani hoja aliyoitoa ni kujidefence kwa sababu amepoteza mchezo lakini kwangu ilinifikirisha sana kuna Jambo moja sana ambalo huwa tunalisahau waandishi wa habari tumekuwa tukiingia kwenye mitego mara kwa mara hasa linapokuja masuala ya nchi yetu kushirikiana na mataifa mengine kuna wakati nadhani inasababishwa na baadhi yetu kutokujua au kwa makusudi.
.
Kocha wa JS Saoura analalamika kwamba amenukuliwa vibaya kuwa alisema timu yake ni changa lakini si dhaifu kama ilivyoandikwa na baadhi ya magazeti nchini japo sitaki kueleza kauli yake na kufungwa lakini tujiulize huyu mtu gazeti letu la kiswahili amejuaje kwamba tumemuandika kwa tofauti na yeye alivyosema jibu linakuja hawa watu wanabalozi zao nchini ambazo kila siku zimekuwa zikifuatilia vyombo vyetu vya habari ili kujua wameandikwaje na mwisho wanapeleka taarifa nchini kwao ndiyo yanakuja masuala ya kidiplomasia kati ya nchi yetu na zingine.
.
Sasa unapoanza kuandika kwamba Nchi fulani au Rais fulani ni mbaya tujue wale wenyewe huwa wanapokea taarifa namna ambavyo wanaandikwa kwenye nchi zai na mwisho wa siku athari inaweza isije kwa chombo husika bali ni kwa nchi kwa ujumla.
.
Nitoe mfano utakuta waandishi /watangazaji wanawaiga wanasiasa juu ya utawala wa Rais wa nchi fulani na kumpatia jina kwamba ni mroho wa madaraka, balozi wa hiyo nchi wanaandika ripoti wanapeleka nchini kwao mwisho wa siku Tunaleta uhasama baina ya nchi na nchi hata kama pengine kulikuwa na miradi ambayo inashirikiana nchi kuitekeleza inajikuta inakwana kwa sababu tu Nchi husika ilibaini kuwa Tanzania inaisema vibaya.
.
Nashauru tu sisi waandishi tujitahidi Kuwa makini sana tunapokuwa tunaandika au tunaripoti kuhusu matukio yanayohusu nchi za wenzetu kwa kuandika katika namna ambayo haitaleta mgongano baina ya nchi na nchi.
.
Insta: FB:Twit:
SANGUJOSEPH
0712861292.

#kijanamzalendo #ilovetz #maoniyangu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ila kiukweli magazeti yetu yqnakosea sana ktk kuandika hizi taatifa. Mfano gazeti la NIPASHE: SIMBA YAWATESA WAARAB.
Na wao wakija andika Mwarab amtesa mtu mweusi wa Tz itamiwa nongwa.
 
Nyie wote waandishi uchwala ndo maana mumeaibika. Mlisema simba kibonde na mavideo juu lakini mkaonja joto la dar. Kwaiyo acha unafiki waache nao wakaandike kwanza hicho kiarabu cha msikitini hatuna habari nacho kwani magazeti hayachezi mpira. Umenikera kuwatetea waarabu hawa mbwa huwa wananyanyasa sana timu zetu zikienda kwao. Ko unyambilisi uendelee tuu tukutane dimbani.
 
Huyo kocha ametoa sbb za kiboya kwa kipigo alichopokea kutoka kwa Simba. Kwani hayo magazeti ndio yaliyoingia uwanjani kucheza?
 
Tanzania na waandishi wa Habari
Asilimia kubwa ya wanaojiita waandishi si waandishi kwani hawajasomea bali ni makanjanja tu, mfano MBWIGA wa Clouds yy ni fundi seremala lkn wanampa kazi yakuripoti wako wengi tu. Serikali mko wapi?
 
Back
Top Bottom