Responded Malalamiko ya matukio ya uhalifu Kisarawe, DC Petro Magoti asema “Kila Mtu alinde mwanaye ambaye ni kibaka, asije kulaumu”

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani, Petro Magoti ametoa kauli kadhaa kuhusu matukio ya uhalifu kama yalivyoripotiwa na Wananchi mbalimbali kupitia JamiiForums.com akisema kuwa “Mzee wa Show Show nipo hapa, nimelichukua na kila Mtu alinde Mwanaye ambaye ni Kibaka, asije kulaumu kuanzia sasa”

Awali kupitia JamiiForums.com Mwananchi aliandika ~ Ujambazi, ubakaji, uporaji na Bangi ni tishio kwa wakazi wa Makurunge Kisarawe. Mamlaka fanyeni jambo

Akielezea kuwa maeneo ya Makurunge, Kata ya Kiluvya Madukani, Wilaya ya Kisarawe kumekuwa na matukio mengi ya uhalifu na waathirika wakubwa ni Wanawake na mabinti wanaovamiwa na wahalifu wanaotumia silaha za jadi na kuwalazimisha watoe pesa na vitu vyenye thamani na kutishia kuwabaka.

DC Magoti ametoa majibu kadhaa kupitia ukura sa wa Instagram wa JamiiForums uliokuwa na taarifa hiyo:
 
Ifike hatua hawa wakuu wa mikoa na wilaya wachaguliwe na wananchi tuu


Hatuwezi kuwa na kiongozi mwenye dhamana ya ulinzi wa wananchi wa sehemu husika alfu hawajabiki kwa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…