Malalamiko ya Tozo za miamala na kodi za majengo kupitia Luku yamepungua, safi sana

Watanzania sasa wamemuelewa Mama na kukubali kulipa Tozo na kodi kwa moyo mmoja. Katika mitandao malalamiko hayo yamepungua, na leo kulikuwa na Thread moja tu ya kulalamikia kuchelewa kwa muamala kwa ajili ya Tozo na si lalamiko la tozo. Ni suala la utendaji tu
Tupo kimya ila tunaumia sana. Na kimya kingi kina kishindo. Subiri kuona madhara ya kimya hiki kwenye hali ya uchumi na uchaguzi mkuu wa 2025 chini ya tume huru ya uchaguzi.
 
Watanzania wakiona tozo zinaleta jibu ya kero zao, watavumilia tu na kukaza kamba. Hata katika familia wakati wazazi wanajenga, huwa familia inakubali kula milo miwili hata mmoja kwa siku wakijua baada ya miaka kadhaa watajikomboa.

Hivyo ukombozi utapatikana kabla ya 2025, na watanzania watafurahia matunda. Hivyo usiwekee matumaini sana huko 2025.
 
Watanzania sasa wamemuelewa Mama na kukubali kulipa Tozo na kodi kwa moyo mmoja. Katika mitandao malalamiko hayo yamepungua, na leo kulikuwa na Thread moja tu ya kulalamikia kuchelewa kwa muamala kwa ajili ya Tozo na si lalamiko la tozo. Ni suala la utendaji tu

Hii imetokana na watanzania kuelezwa matumizi ya pesa hizo za mwezi mmoja tu kujenga madarasa 560 watayosomea watoto wetu na kujengwa kwa zahanati zaidi ya 90 tutazotumia sisi wenyewe.

Ni mwendawazimu tu anaweza kuendelea kulalamika katika faida hizo kwa mwezi mmoja. Fikiria kwa mwaka mmoja tutakuwa wapi. Mama endelea watanzania tupo nyuma yako, na yataposimama madarasa na zahanati vicheko vitazidi.

Mama, Rais SSH endelea kuzungumza na watanzania kwa lugha wanayoielewa, na wao watakuelewa tu.
Kama hujalogwa basi utakuwa ulizaliwa njiti
 
Kelele huwa zinazushwa na chadema na mataga kutafuta kiki
 
Hata tukilalamika hatupati msaada zaidi yake tunapoteza muda na bando tu
Mkilalamika mnapata msaada huu: "Maendeleo: Mkoa wa Dodoma wapokea gawio la Tsh mil 500 lililotokana na Tozo, kujenga vituo vya afya."

Hivi, huo si msaada babu kubwa!
 
Ngozi nyeusi ndiyo maana yule Jamaa wa us alitutukana, hitla alitalia kuiondoa kabisa hii ngozi duniani! Kumbe ni kweli hatuna faida tunamaliza hewa ya Mwenyezi bure! Poor afr.
 
Sikumbuki mara ya mwisho kufanya muhamala ilikuwa lini
 
Watanzania sasa wamemuelewa Mama na kukubali kulipa Tozo na kodi kwa moyo mmoja. Katika mitandao malalamiko hayo yamepungua, na leo kulikuwa na Thread moja tu ya kulalamikia kuchelewa kwa muamala kwa ajili ya Tozo na si lalamiko la tozo. Ni suala la utendaji tu

Hii imetokana na watanzania kuelezwa matumizi ya pesa hizo za mwezi mmoja tu kujenga madarasa 560 watayosomea watoto wetu na kujengwa kwa zahanati zaidi ya 90 tutazotumia sisi wenyewe.

Ni mwendawazimu tu anaweza kuendelea kulalamika katika faida hizo kwa mwezi mmoja. Fikiria kwa mwaka mmoja tutakuwa wapi. Mama endelea watanzania tupo nyuma yako, na yataposimama madarasa na zahanati vicheko vitazidi.

Mama, Rais SSH endelea kuzungumza na watanzania kwa lugha wanayoielewa, na wao watakuelewa tu.
Sahihi kabisa! Bila tozo Raisi atawezaje kutembelea nchi wahisani kama vile Congo DRC? Kilangila.
 
t_20210825-161245-1.jpg
 
Halafu Sasa hivi wanaofungua na kufufua akaunti zao kwenye mabenki wengi sana.

Mimi nimefungua akaunti mbili mpya kwa ajili ya kukwepa miamala ya simu.
Tozo safiiiii.
Na ndio lengo lao kubwa na limetimia, fedha lazima mrudishe kwenye mzunguko halali kwemye benki
 
Sikumbuki mara ya mwisho kufanya muhamala ilikuwa lini
Tumia pesa upate pesa. Kama hufanyi muamala inadhihirisha kuwa wewe si mtumiaji wa pesa aka bahili. Ziweke tu hizo pesa bila kuzizungusha ukidhani zitazaliana huko kwenye mabox, chungu au uvunguni mwa kitanda.

Nakushauri zizungushe hizo pesa ili uondoe umasikini na serikali yako ipate.
 
Watanzania sasa wamemuelewa Mama na kukubali kulipa Tozo na kodi kwa moyo mmoja. Katika mitandao malalamiko hayo yamepungua, na leo kulikuwa na Thread moja tu ya kulalamikia kuchelewa kwa muamala kwa ajili ya Tozo na si lalamiko la tozo. Ni suala la utendaji tu

Hii imetokana na watanzania kuelezwa matumizi ya pesa hizo za mwezi mmoja tu kujenga madarasa 560 watayosomea watoto wetu na kujengwa kwa zahanati zaidi ya 90 tutazotumia sisi wenyewe.

Ni mwendawazimu tu anaweza kuendelea kulalamika katika faida hizo kwa mwezi mmoja. Fikiria kwa mwaka mmoja tutakuwa wapi. Mama endelea watanzania tupo nyuma yako, na yataposimama madarasa na zahanati vicheko vitazidi.

Mama, Rais SSH endelea kuzungumza na watanzania kwa lugha wanayoielewa, na wao watakuelewa tu.
Je pesa inayokusanywa nyingine kazi yake nini? au ni kulipa mishahara na posho?
 
Back
Top Bottom