Malalamiko ya Tozo za miamala na kodi za majengo kupitia Luku yamepungua, safi sana

Kwani wangetoka halmashauri wakaenda moja kwa moja TANROAD kungekuwa na tatizo gani?
Majukumu yao ni tofauti toka asili. Ndio maana nimesema kuwa hawa wataalam wa TARURA na kazi zao zilikuwepo hata wakati ule TANROAD ilishaanzishwa. Na walikuwa wakifanya shughuli zao za ujenzi wa bara bara hata wakati ule. Na kwa wakati huu majukumu yao hayajabadilika ni yale yale, sasa kwanini waunganishwe TANROAD. Kumbuka TANROAD hawataki na wala hawakuwa na majukumu ya wataalam hawa wa TARURA, hivyo ingekuwa ni kuwaongezea mzigo juu ya mzigo.
 
WE NI MPUUZI SANA🙄🙄🙄😃😃🤣🤣🤣
 
Nadhani huelewi hata unatetea nini, kwani majukumu hayawezi kuunganishwa na core activity ni barabara?
 
Wewe utakuta ni wale waliotolewa bongo zao,kisha wanaendeshwa kwa remote,pumbav.
 
Yaani shs. 1,000 ya tozo kwa mwezi kwa majengo yaliyopo mijini mtu unalalamika!
Hata mimi siwaelewi. Tena si 1000 tu bali kwa maendeleo ya ujenzi wa madarasa na zahanati. Jamani, jamani acheni kukufuru
 
Nadhani huelewi hata unatetea nini, kwani majukumu hayawezi kuunganishwa na core activity ni barabara?
Unajua serikali inapotenga maeneo kama hayo, maana yake mkuu mmoja anaelemewa na usimamizi wa shughuli hiyo. Kwa mfano kwa nini utengenezaji wa barabara kuu kama Dar - Moshi, Mtwara - Ruvuma hawapewi TANROAD?
 
Unajua serikali inapotenga maeneo kama hayo, maana yake mkuu mmoja anaelemewa na usimamizi wa shughuli hiyo. Kwa mfano kwa nini utengenezaji wa barabara kuu kama Dar - Moshi, Mtwara - Ruvuma hawapewi TANROAD?
Kazi ya TANROAD na TARURA ni kusimamisha na siyo kutengeneza ndiyo maana wanatangaza tenda mkuu
 
Tumegundua tunaweza kuanzisha digital bank na kukwepa tozo siyo za serikali tu bali na za mabenki, makampuni ya simu na ya uhamishaji wa fedha.


Jiunge na hii APP itakayokumilikisha digital bank ambayo ndani ya miaka mitatu tutaachana na uteja wa miamala kandamizi tajwa na kuvuna hela za nguvu.

Kujiunga na hii digital bank bofya hiyo link na tumia nywila "asakila" kujiunga. Ukibofya hiyo link inakupeleka kwenye play store download hiyo APP ifungue na fuata maelekezo yake yote.

Pi is a new digital currency developed by Stanford PhDs, with over 23 million members worldwide. To claim your Pi, follow this link Pi Network and use my username (asakila) as your invitation code.
 
You are right
 
Unajitekenya. Kamuulize akwambie anapata Tshs ngapi kwa mwezi ndio utajua hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…