Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).

Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.

Najivunia Ujasiri wangu huu.

Screenshot_2023-10-30-22-42-45-1.png
 
Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani , ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara ( tumejua makosa yetu )

Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe .

Najivunia Ujasiri wangu huu .

View attachment 2798412
Sasa apostle Unabii kwa mumama umekwama.

Sasa kwa puppet si utabuma mapema asubuhi
 
Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).

Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.

Najivunia Ujasiri wangu huu.

View attachment 2798412
Huyo hata angepambwa na Almas na dhahabu zote zilizopo Tanzania hawezi kuvutia kivyovyote, kisiasa wala ki-sura.

Lakini mleta mada, nakuomba sana tafadhali usipoteze lengo.

Mada zako za siku za karibuni ni kama zinapoteza lengo.
Hakuna wakati muhimu zaidi kuliko wakati huu kuelekeza nguvu zote katika kumshinda adui mkubwa anayeizonga nchi yetu.

Hakuna mchango mdogo, mradi uwe na lengo la kumshinda shetani CCM.
 
Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU

Rudi jikoni ujiongeze.. umepwaya na haujawahi kuwa hivyo kivileeee.. 🤣🤣🤣
Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).

Hii kali.. HONGERA SANA kwa kulitambua hili sasa.. too late.. nawe una kakosea usisingizie viongozi tu. 😅😅😅😅😅

Nimekumbuka picha ulipiga ukiwa Dar siku moja.. za kiupaparazi pale mnahangaika na viongozi wenu.. wa matumbo yao hadi Leo.. mlipotambua mmepwaya tangu enzi zileee.. miaka imeenda sasa..
 
Dhuluma hutengeneza chuki isiyo isha:

1.Tulia alitoa hukumu ya mita 200 kwenye kituo cha kupigia kura ,wananchi wasizisimamie kura zao!,baadae akazawadiwa ubunge wa kuteuliwa.
2.Viongozo wameendelea kushabikia dhuluma dhidi ya washindani katika uchaguzi(kupitisha na kutangaza watu wasio kubalika).
3.Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 dhuluma ya wazi ilifanyika(wananchi na washindani wakishuhudia).
4.Uchaguzi wa 2020 kwa matamko na vitendo dhuluma ilifanyika ya kuzuia wagombea halali kushiriki au kuporwa ushindi.
5.Baada ya uchaguzi 2015,Tulishuhudia watawala wakitumia nguvu kubwa kukandamiza uhuru wa raia kutekeleza majukumu ya kisiasa.

Sasa kwa kukandamiza na kudhulumu haki za wengine huzaa vidonda na chuki ya muda mrefu siku ikifumuka itakuwa kama mambo tunayo yaona kwa nchi jirani.

Watawala wajifunze kutenda haki,kama unaona huwezi jiondoe kimya kimya sio kukandamiza haki ya jamii kwa kutaka kulinda hadhi ya leo isiyo kubalika machoni pa wengi.
 
Back
Top Bottom