Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sasa apostle Unabii kwa mumama umekwama.Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani , ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara ( tumejua makosa yetu )
Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe .
Najivunia Ujasiri wangu huu .
View attachment 2798412
Kama mwenyewe amekiri kuponea tundu la sindano wewe unabisha nini?sasa apostle Unabii kwa mumama umekwama,
sasa kwa puppet si utabuma mapema asubuh
Jiwe la gizaniπ€£π€£π€£π€£πΊ.
sasa kwa Tundu Lisu si atapita tu bila tashwishwi yeyote mbele ya maombi yako ya kinabii, kama kwenye Tundu la sindano kapenyaKama mwenyewe amekiri kuponea tundu la sindano wewe unabisha nini ?
HayaSi kweli Chadema hawezi kumpambania CCM haijawahi tokeaπ
Walipanda mbigiri Kwa watu, wakasahau kuwa siku moja watarudi kwetu wakiwa peku pekuKazi imeanza Rasmi
Noma mno !Walipanda mbigiri Kwa watu, wakasahau kuwa siku moja watarudi kwetu wakiwa peku peku
Huyo hata angepambwa na Almas na dhahabu zote zilizopo Tanzania hawezi kuvutia kivyovyote, kisiasa wala ki-sura.Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).
Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.
Najivunia Ujasiri wangu huu.
View attachment 2798412
Hapana.Huu mgawanyiko wa Watanzania usipoangaliwa unaweza kutuingiza kwenye Vita vya sisi kwa sisi.
Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU
Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).