Sina laini ya halotel. But naulizia.ili nione walivyo, nihamie.Kama una line piga *149*99# ujionee mwenyewe.
Isivyo bahati, huku Arusha huu mtandao hauna coverage nzuri hata upatikanaji wake ni mgumu sana.Mm huwa najiunga cha chuo 1500/Tsh unapata dk 160, sms 500 na g.b 1.5 kwa wiki na mb zako zinatumika kihalali kabisa.
Au 500/tsh unapata mb 500.
navyo vinakera sana; mara line ya chuo, mara line ya royal , mara line ya kawaida; na bado watakuja na labda line ya malaika! Hizi tofauti zote za nini? hela si ni ile ile tuhalotel wan gb 12 kwa mwezi kwa 10,000 na haichachi.... tafuta line ya Royal
Halotel ni nzuri ina speed kuliko tigoKwenye vifurushi wakoje na speed ya mtandaoo wao?
Shida yao signal zao haziko stable sehemu zingineHalotel ni nzuri ina speed kuliko tigo
Inategemea na maeneo mkuuHalotel ni nzuri ina speed kuliko tigo
Asante mkuu...Nimewaza comment aliyoandika huyo mdau, hata sikujua jibu gani anastahili, hili la kwako limetoka kiungwana sana, unastahili heshima.
Hii kitu imenikuta leo!! Yani elfu 3 kwa Gb 1!! TIGO ACHENI WIZI!!Nimeona niandike hili juu ya wizi wa kampuni ya (TIGO) kwenye vifurushi vyao, haijarishi ni kifurushi cha dakika au ni cha sms au internet,
Wamekuwa wakipandisha vifurushi vyao bila kujali hali halisi ya maisha tuliyonayo
Jana nimejaribu kununua kifurushi cha internet
ambacho nimezoea kununua cha Tsh 3000 gb 2 kwa wk
Nimekuta kimepunguzwa gb1 na kubakia gb 1 kwa tsh 3000 nimeshindwa kununua kifurushi hicho bado najiuliza nihamie kampuni gani yenye unafuu wa vifurushi tofauti na hawa wezi @tigo_tz
View attachment 1688193
Aglau Voda kwa 1500 kuna hali ya uzalendo ...Vodacom kuna muda wanajitoaga ufahamu ila naona Tigo wamepitiliza. Sijawahi kutumia mtandao wa Tigo, Karibu vodacom. Naunga cha 2000 GB 1 wiki naongeza cha 1000 GB 1 siku 3, napata 2GB.
View attachment 1688302
View attachment 1688303
Me nimechungulia jana nahitaji kununua kifurushi nakuta gb1 tsh 3000 bado hata kwa tsh 3000 gb 2 make waliondoa muda wa mahongezi na smsHii kitu imenikuta leo!! Yani elfu 3 kwa Gb 1!! TIGO ACHENI WIZI!!
Nalazimika kuuhama huu mtandao!!
Wanajiamulia tu kupandisha gharama as if ni mtandao pekee wa simu hapa Tz, mm leo ndio mwisho kutumia Tigo...Gb 1 elfu 3!!, wametuchoka!Me nimechungulia jana nahitaji kununua kifurushi nakuta gb1 tsh 3000 bado hata kwa tsh 3000 gb 2 make waliondoa muda wa mahongezi na sms
lkn kwa hili la leo najilipua napiga line chini..
Kuna mwizi mwingine anakuheshimu...anakuibia usiku ukiwa umechoka, umelala, Tigo wanakuibia Mchana kweupe kabisa yani!!Wanazidiana kwa wizi TIGO ni takataka tu..
[emoji2][emoji2]Kuna mwizi mwingine anakuheshimu...anakuibia usiku ukiwa umechoka, umelala, Tigo wanakuibia Mchana kweupe kabisa yani!!