Mwenge07
New Member
- Feb 1, 2021
- 2
- 0
Serikali tuomba iingilie kati maana sio kwa makato tunayokatwa na hao wa mitandao hasa Tigo nimewachokaaaaa Sana mwanzo kifurushi Cha saiz yako nilikuwa najiunga kwa Tsh.1500
Nilikuwa napewa dk 250 sms 100 na Gb 1.3...kwa wiki.....ghafla washaadilisha 2500 dk 75 +50 sms 100 Gb 1 kwa wiki.
Huo jamani ni wizi kutoka 1500 hadi 2500...shida sana hii
Nilikuwa napewa dk 250 sms 100 na Gb 1.3...kwa wiki.....ghafla washaadilisha 2500 dk 75 +50 sms 100 Gb 1 kwa wiki.
Huo jamani ni wizi kutoka 1500 hadi 2500...shida sana hii
Huu sasa ni upuuzi. Eti sasa hivi Tigo bei ya GB 1 kwa wiki ni TZS 3,000. Kabla ya hii bei ilikuwa GB 2 TZS 3,000. Kabla ya hapo ilikuwa kama sikosei GB1 ilikuwa 1,000. Yaani hawa jamaa kila siku wanazidi kushusha idadi ya gb na kupandisha bei. Serikali tunaomba muingilie kati hili swala.
Haya makampuni sasa yamegeuka kuwa ya kinyonyaji badala ya kuwa msaada kwa wananchi.