Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Serikali tuomba iingilie kati maana sio kwa makato tunayokatwa na hao wa mitandao hasa Tigo nimewachokaaaaa Sana mwanzo kifurushi Cha saiz yako nilikuwa najiunga kwa Tsh.1500

Nilikuwa napewa dk 250 sms 100 na Gb 1.3...kwa wiki.....ghafla washaadilisha 2500 dk 75 +50 sms 100 Gb 1 kwa wiki.

Huo jamani ni wizi kutoka 1500 hadi 2500...shida sana hii
Huu sasa ni upuuzi. Eti sasa hivi Tigo bei ya GB 1 kwa wiki ni TZS 3,000. Kabla ya hii bei ilikuwa GB 2 TZS 3,000. Kabla ya hapo ilikuwa kama sikosei GB1 ilikuwa 1,000. Yaani hawa jamaa kila siku wanazidi kushusha idadi ya gb na kupandisha bei. Serikali tunaomba muingilie kati hili swala.

Haya makampuni sasa yamegeuka kuwa ya kinyonyaji badala ya kuwa msaada kwa wananchi.
 
Ukweli ni kuwa Tanzania ni nchi ambayo gharama za data ziko chini sana. Nchi nyingi bando la 1GB ni zaidi ya 10,000.

Sasa wewe 1GB 3,000 unalalamika? Tena tukiwa uchumi wa kati?
Umefanya comparison na nchi gani ndugu? Mfano India 1Gb ni "tsh 600 hivi" na haina limit ya muda. Huko Ukraine ndo wanaongoza dunia kwa gharama nafuu zaidi za intanet.
 
Ukweli ni kuwa Tanzania ni nchi ambayo gharama za data ziko chini sana. Nchi nyingi bando la 1GB ni zaidi ya 10,000.

Sasa wewe 1GB 3,000 unalalamika? Tena tukiwa uchumi wa kati?
Rwanda na burundi wenyewe tu wametushinda tanzania kwa wao kuwa na gharama nafuu zaidi za mobile data.
 
Back
Top Bottom