Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Kisa?kabla ya tare 1 February makampuni yote yatakuwa yamepandisha gharama za vifurushi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa?kabla ya tare 1 February makampuni yote yatakuwa yamepandisha gharama za vifurushi.
kodi.Kisa?
Hawa majamaa wa mitandao wanafanya sana jeuri,sijui tcra kazi yao ni nini haswa?Nimeweka elfu 300 Jana kununua internet leo wameifyeka wakati hata sijatumia internet hata kidogo
Halafu eti elfu tatu unapewa MB 500
Aiseèee !!!Hao tiGo hata usiwashtue, waache hivyo hivyo na uhujumu wao wakija kushtuka tushahama wote ndiyo akili zitawakaa!
Hizi ni propaganda ili TTCL itake over
Mtandao wa Tigo umekuwa mtandao wa ajabu sana. Yaani saizi wana-program ya ovyo sana ukinunua salio kupitia Tigo pesa, pesa iliyokuwa kwenye acc ya Tigo pesa unakatwa haijalishi hata kama umenunua kifurushi kwa salio la kawaida. Naamini watu wa Sheria mpo humu mtalizungumza suala hili kwa Lugha ya ki-Sheria.
Ni sawa sababu mnadai pesa yenu, lakini kwenye technique za kibiashara mna feli sana. Sababu
1. Mnafanya service yenu kuwa ya gharama sana kwa wateja wenu kitu kinachofanya Vodacom akutandike kila siku sokoni. Mfano mimi mlikuwa mnanidai 3500/= Nimelipa pia nikaongeza vocha ya 3000/= nyingine ili niweze kujiunga kifurushi maana yake hapo nimetumia 6,500/= mnaona Mteja wenu Mlivyo mpatia gharama kubwa.
2. Customer care wanna-midomo michafu sana halafu ukipeleka lalamiko wana kucheka punde unakatiwa simu.
3. MB’s pia mnachakachua tena sana tu. Kweli mnatuogopesha wateja wenu
Niwaambie tu nilikuwa loyal customer wenu ila enough wazee.
WADAU WENGINE WENYE MALALAMIKO HAYA
pia soma > Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020
Nadhani inabidi itafutwe root cause ya haya matatizo maana mitandao karibu yote yamepandisha gharama kasoro ttcl. Na kuna uwezekano ttcl wakawa wanamkono wao ama lah! Maana ttcl ndiye anayewauzia bundle za mawasiliano kampuni zote za mawasiliano na yeye ndiye anahusika na mkongo wa taifa.
Mtandao wa Tigo umekuwa mtandao wa ajabu sana. Yaani saizi wana-program ya ovyo sana ukinunua salio kupitia Tigo pesa, pesa iliyokuwa kwenye acc ya Tigo pesa unakatwa haijalishi hata kama umenunua kifurushi kwa salio la kawaida. Naamini watu wa Sheria mpo humu mtalizungumza suala hili kwa Lugha ya ki-Sheria.
Ni sawa sababu mnadai pesa yenu, lakini kwenye technique za kibiashara mna feli sana. Sababu
1. Mnafanya service yenu kuwa ya gharama sana kwa wateja wenu kitu kinachofanya Vodacom akutandike kila siku sokoni. Mfano mimi mlikuwa mnanidai 3500/= Nimelipa pia nikaongeza vocha ya 3000/= nyingine ili niweze kujiunga kifurushi maana yake hapo nimetumia 6,500/= mnaona Mteja wenu Mlivyo mpatia gharama kubwa.
2. Customer care wanna-midomo michafu sana halafu ukipeleka lalamiko wana kucheka punde unakatiwa simu.
3. MB’s pia mnachakachua tena sana tu. Kweli mnatuogopesha wateja wenu
Niwaambie tu nilikuwa loyal customer wenu ila enough wazee.
WADAU WENGINE WENYE MALALAMIKO HAYA
pia soma > Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020
Sasa kama hamlipi unataka wafanyeje? Kukopa harusi kulipa matanga.Voda nao wamekua na huo mfumo Kama mtu anadaiwa Nipige Tafu, hata ukinunua kifurush kwa Mpesa wanakata hiyo pesa juu kwa juu. Nawakubali halotel hata Kama una deni na uweke vocha hawaikati mda huo huo.
Kitaalamu tunaita "Bet Lost"Tigo niliwahi Nunua umeme wa 7500 hawakutuma token hadi keshoo mbwa waleee...
Nishaingia halotel lkn washaanza kuzngua nimeweka voucher ya book sjaunga package wamekata hamsini imebaki mia tisa hamsini daahKaribu halotel, ukijaribu mtandao wa kizalendo ndio utajuta zaidi Bora huu wa wavietnam