Njegele
Member
- Aug 3, 2014
- 61
- 100
Leo ikiwa ni siku ya wafanyakazi duniani, khari ni tofauti kwenye shule ya secondary Bulima.
Shule hii inamilikiwa na umoja wa wazazi Tanzania (CCM) Kwa mwaka huu(2023) shule imejifunga baada ya kukosa wanafunzi.
Hasa tatizo lipo Kwa watumishi ambapo mpka Sasa uongozi wa shule hautaki kuwandikia watumishi barua za ukomo wa ajira ili wakachukue mafao yao NSSF.
Toka mwezi kwanza mpka Sasa viongozi hawataki Kwa kigezo kuwa shule Bado ipo, la sivyo mtumishi aandike barua ya kuacha kazi na kufanya hivyo anakosa haki zake zingine