Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,359 Reaction score 5,837 Sep 14, 2018 #21 sembo said: Mkuu, huyu MK14 hazuiliki kabisa. Beki bora kabisa duniani kwa sasa, anayekipiga katika timu ambayo inafundishwa na kocha anayeongoza kwa kutengeneza mabeki wakatili, Jose Mourinho, Ndugu Erick Bailey kakiri hilo. Click to expand... Mbona hajawahi kuwa top scorer katika ligi zote alizowahi kucheza...au ligi yetu legelege
sembo said: Mkuu, huyu MK14 hazuiliki kabisa. Beki bora kabisa duniani kwa sasa, anayekipiga katika timu ambayo inafundishwa na kocha anayeongoza kwa kutengeneza mabeki wakatili, Jose Mourinho, Ndugu Erick Bailey kakiri hilo. Click to expand... Mbona hajawahi kuwa top scorer katika ligi zote alizowahi kucheza...au ligi yetu legelege
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Sep 14, 2018 Thread starter #22 Turnkey said: Mbona hajawahi kuwa top scorer katika ligi zote alizowahi kucheza...au ligi yetu legelege Click to expand... Kwahiyo unataka kusema Erick Baily ni lege lege pia?
Turnkey said: Mbona hajawahi kuwa top scorer katika ligi zote alizowahi kucheza...au ligi yetu legelege Click to expand... Kwahiyo unataka kusema Erick Baily ni lege lege pia?
Your Majesty JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 3,242 Reaction score 5,345 Sep 14, 2018 #23 sembo Hawezi kuelewa unachomwambia mkuu
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Sep 14, 2018 Thread starter #24 Sapta Sapta said: sembo Hawezi kuelewa unachomwambia mkuu Click to expand... Inabidi niachane nae.
Jumong S JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 7,385 Reaction score 10,659 Sep 14, 2018 #25 Watani wetu Chura FC naona washaanza kutafuta dawa za kuharisha, 30/09 Ndala Fc a.k.a yeboyebo tunawanyoa kwa mundu!!!
Watani wetu Chura FC naona washaanza kutafuta dawa za kuharisha, 30/09 Ndala Fc a.k.a yeboyebo tunawanyoa kwa mundu!!!
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Sep 14, 2018 Thread starter #26 Jumong S said: Watani wetu Chura FC naona washaanza kutafuta dawa za kuharisha, 30/09 Ndala Fc a.k.a yeboyebo tunawanyoa kwa mundu!!! Click to expand... Mkuu kwa upande wangu nitaanza kusherekea ushindi wetu wa 30/09 tarehe 25/09 (siku 5 kabla).
Jumong S said: Watani wetu Chura FC naona washaanza kutafuta dawa za kuharisha, 30/09 Ndala Fc a.k.a yeboyebo tunawanyoa kwa mundu!!! Click to expand... Mkuu kwa upande wangu nitaanza kusherekea ushindi wetu wa 30/09 tarehe 25/09 (siku 5 kabla).