Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
Mbona hajawahi kuwa top scorer katika ligi zote alizowahi kucheza...au ligi yetu legelegeMkuu, huyu MK14 hazuiliki kabisa. Beki bora kabisa duniani kwa sasa, anayekipiga katika timu ambayo inafundishwa na kocha anayeongoza kwa kutengeneza mabeki wakatili, Jose Mourinho, Ndugu Erick Bailey kakiri hilo.