Malale 50: Jumamosi Tutafuta Uteja Wetu 'wa milele' Dhidi ya Simba SC.

Malale 50: Jumamosi Tutafuta Uteja Wetu 'wa milele' Dhidi ya Simba SC.

Mkuu, huyu MK14 hazuiliki kabisa. Beki bora kabisa duniani kwa sasa, anayekipiga katika timu ambayo inafundishwa na kocha anayeongoza kwa kutengeneza mabeki wakatili, Jose Mourinho, Ndugu Erick Bailey kakiri hilo.
Mbona hajawahi kuwa top scorer katika ligi zote alizowahi kucheza...au ligi yetu legelege
 
Watani wetu Chura FC naona washaanza kutafuta dawa za kuharisha, 30/09 Ndala Fc a.k.a yeboyebo tunawanyoa kwa mundu!!!
 
Watani wetu Chura FC naona washaanza kutafuta dawa za kuharisha, 30/09 Ndala Fc a.k.a yeboyebo tunawanyoa kwa mundu!!!
Mkuu kwa upande wangu nitaanza kusherekea ushindi wetu wa 30/09 tarehe 25/09 (siku 5 kabla).
 
Back
Top Bottom