Hawa watoto siku hizi wamekuwa wakituachia simanzi sana sisi wazazi.Mtoto mdogo anayedaiwa kuwa ni mwanafunzi wa darasa la 6 Shule ya msingi Malamba Mawili amejinyonga eneo la Msikitini.
Mwili huo umegunduliwa ukining'inia chini ya mti mbele ya nyumba ya mtu ambaye inadaiwa watu hawakai hapo.
Polisi wamefika enwo la tukio wamechukua mwili wa marehemu, pamoja na mtoto aliyegundua mwili huo.
View attachment 2996476
Picha: Baadhi ya watu wakikata mti muda mfupi baada ya polisi kuchukua mwili na kuondoka
Soma vizuriHatari sana hii
Mtoto mdogo wa miaka sita anapataje akili ya kujitoa uhai?
Tunamchekea sana shetani aiseee hadi amewafikia watoto wetu.
Mtoto anasoma darasa la sita syo ana miaka 6 hope anaweza kuwa na miaka 10 Hadi 11Hatari sana hii
Mtoto mdogo wa miaka sita anapataje akili ya kujitoa uhai?
Tunamchekea sana shetani aiseee hadi amewafikia watoto wetu.
Malamba mawili ndilo Jina sahihiMaramba mawili.✅️
Malamba mawili❌️
Alamba ndiyo Jina sahihiMalamba mawili ndilo Jina sahihi
Yani mtu kajenga nyumba halaf kaitelekeza, haishi hapo. Na ndio hapo hapo alipokutwa mtoto kajinyonga 🤔Mwili huo umegunduliwa ukining'inia chini ya mti mbele ya nyumba ya mtu ambaye inadaiwa "watu hawakai hapo".
unataka habari au unataka marekebisho.we jeshini unakufa mapema maana redio upepo itakusumbuaMaramba mawili.✅️
Malamba mawili❌️