Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Inasikitisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUU MWEZI WA.LAÀNA ZA KUJINYONGA AKIKISHE. MKO MBALI NA KAMBA KAMBAAA ZIDIZO NA MANUFAAMtoto mdogo anayedaiwa kuwa alikuwa ni mwanafunzi wa darasa la 6 Shule ya msingi Malamba Mawili amejinyonga eneo la Msikitini.
Mwili huo umegunduliwa ukining'inia chini ya mti mbele ya nyumba ya mtu ambaye inadaiwa watu hawakai hapo.
Polisi wamefika eneo la tukio wamechukua mwili wa marehemu, pamoja na mtoto aliyegundua mwili huo.
View attachment 2996476
View attachment 2996480
Picha: Baadhi ya watu wakikata mti muda mfupi baada ya polisi kuchukua mwili na kuondoka
HII YA APRIL HUU MZIGOO MPYA MKUU
stresssianaaaa@workHawa watoto siku hizi wamekuwa wakituachia simanzi sana sisi wazazi.
Wamepatwa na nini?
Mwingine juzi kanyanganywa simu na kaka yake akajitundika.
Mwingine kapigwa shuleni na Mwl kajimaliza.
Yaani hawawezi kuhandle any kind of stress
Nation? Imeingiaje hapo mkuu?so sad where are we going now as a nation...?
look nowdays kid are the future of tomorow so as a nation we have to look at ourselves where are we wrong that is what i meanNation? Imeingiaje hapo mkuu?
Wenyeji wanapaita "Malamba" na hata shule ni Malamba Mawili.Maramba mawili.✅️
Malamba mawili❌️
Naomba unifanyie hissni nipate huo mti aliojinyongea kama upo karbu na eneo la tukioMalamba mawili ndilo Jina sahihi